Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Sarri: "But you need important objectives for important players. And Hazard can improve if he becomes a little bit more aggressive and gives the best of himself."
Unasemaa!!!!kesho southampton anawakamatia chini chelsea hakuna cha sarri ball wala sarra ball! ...mtakimbia kimbia tu uwanjani ovyo na hazard wenu
Point dhaifu kabisa. Kepa Arrizzabalaga, Antonio Rudiger, Alonso, Jogihno, Kovacic, Kante, Barkley, Morata, Giroud; zaidi ya wachezaji saba na wote ni wa kikosi cha kwanza. Na hawajafikisha hata misimu mitatu.Unapoutazama Mpira Kwa Upofu Siku zote Utaendelea Kuwa Kipofu...
Kinacholeta Mashaka Ni Mpale Mshabiki Wa Chelsea anaposema "Chelsea ina Miezi Miwili tu Kwa Sarri lakini inafanya Vizuri"!!!!
Hivi Kwa Pale Uengereza Ukitoa Chelsea na Spurs Ni Timu gani Nyengine Wachezaji Wake Waliokaa Kwa Muda Mrefu na Kutengeneza Chemistry ya Muda mrefu?
Kinachowaangusha Spurs Ni Kuwa Uwekezaji wao Ni Mdogo Wanawekeza Kwa Wachezaji Wa kawaida (Average)..
Lakini Chelsea Kwa Muda Mrefu Wamewekeza Kwa Wachezaji Waliokuwa Talented hapo Mwanzoni ambao Wapo Kwenye Timu Kwa Muda Mrefu 3+ years.
Sasa Sarri ana miezi Miwili lakini Wachezaji hawana Miezi Miwili na Ndiyomana unakutia Hata Yule Kocha Wa Ndondo Conte alibebwa na Timu akachukua Kombe.
Tofauti na Timu Zetu Man United, Arsenal na Liverpool ambazo Kila Window unakutia Sura Mpya Makocha Wakihangaikia Kutengeneza Chemistry jambo ambalo Linahitaji project ya Muda mrefu.
Ukiona pumba km hizo unazipotezea. Ni kauli za kujitia moyo maana wanaumia na kiwango cha sasa cha Sarri alafu wao mbio zao zimeanza kuwashinda....Point dhaifu kabisa. Kepa Arrizzabalaga, Antonio Rudiger, Alonso, Jogihno, Kovacic, Kante, Barkley, Morata, Giroud; zaidi ya wachezaji saba na wote ni wa kikosi cha kwanza. Na hawajafikisha hata misimu mitatu.
Msimu huu mmemsajili Allison na Keita kama wachezaji ambao ni ingizo katika kikosi cha kwanza. Chelsea wakati huohuo imewasajiri Kepa, Jogihnho na Kovacic. Sasa sijui unazungumzia chemistry ipi?
Useme tu Liverpool inasajiri wachezaji wa kawaida na hivyo inawachukua muda ku-click. Mwangalie VVD ameingia mara moja ktk kikosi cha kwanza.
Ukiona pumba km hizo unazipotezea. Ni kauli za kujitia moyo maana wanaumia na kiwango cha sasa cha Sarri alafu wao mbio zao zimeanza kuwashinda....
Team yao iko ICU na kesho inarejeshwa tena Theatre kufanyiwa upasuaji na City.....

Point dhaifu kabisa. Kepa Arrizzabalaga, Antonio Rudiger, Alonso, Jogihno, Kovacic, Kante, Barkley, Morata, Giroud; zaidi ya wachezaji saba na wote ni wa kikosi cha kwanza. Na hawajafikisha hata misimu mitatu.
Msimu huu mmemsajili Allison na Keita kama wachezaji ambao ni ingizo katika kikosi cha kwanza. Chelsea wakati huohuo imewasajiri Kepa, Jogihnho na Kovacic. Sasa sijui unazungumzia chemistry ipi?
Useme tu Liverpool inasajiri wachezaji wa kawaida na hivyo inawachukua muda ku-click. Mwangalie VVD ameingia mara moja ktk kikosi cha kwanza.
Sawa Kopites: subiri unyolewe kwanza na man city ndipo uje umalize hasira zako au kutoa povu lako hapakesho southampton anawakamatia chini chelsea hakuna cha sarri ball wala sarra ball! ...mtakimbia kimbia tu uwanjani ovyo na hazard wenu
Alonso?
Kante?
Hawajitimiza Misimu 3????
Anyway! You are right No need to argue with my Pumba.
Maurizio Sarri has reportedly asked Chelsea to bankroll the signings of Krzysztof Piatek and Daniele Rugani. (il Corriere dello Sport ) #CFCStayle yake ya uchezaji inamfanya kila mchezaji kuufurahia mpira
Tutafute striker tu maana ndio tatizo letu
Daah ila we jamaa una kejeli bhana.Ukiona pumba km hizo unazipotezea. Ni kauli za kujitia moyo maana wanaumia na kiwango cha sasa cha Sarri alafu wao mbio zao zimeanza kuwashinda....
Team yao iko ICU na kesho inarejeshwa tena Theatre kufanyiwa upasuaji na City.....




Sawa Kopites: subiri unyolewe kwanza na man city ndipo uje umalize hasira zako au kutoa povu lako hapa
Wachezaji wa kikosi cha kwanza waliotimiza misimu mitatu katika timu hizi (nawataja kwa uchache):
MAN UNITED:
De Gea
Valencia
Smalling
Jones
Baily
Shaw
Young
Fellaini
Herrera
Mata
Pogba
Rashford
Martial
LIVERPOOL:
Lovren
Milner
Wijnaldum
Henderson
Mane
Firmino
Sturridge
ARSENAL:
Cech
Bellerin
Mustafi
Koscielny
Monreal
Xhaka
Ramsey
Iwobi
Ozil
Welbeck
Note: Nime include na wanaokaa bench mara kwa mara.