Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Wee dogo ni dogo tu hawezi kuwazidi kaka zakeSiioni sababu ya Sarri kutomuamin Odoi mpaka muda huu. Odoi ni bora kuliko Willian na Moses
Wee dogo ni dogo tu hawezi kuwazidi kaka zakeSiioni sababu ya Sarri kutomuamin Odoi mpaka muda huu. Odoi ni bora kuliko Willian na Moses
Kwa miaka 10 mfululizo ......Ligi ya Uingereza ni competitive kweli kwa maana ya kuwa na timu nyingi zenye uwezo wa kushinda ligi (Kwenye 'nyingi' ondoa Liverpool, Man utd na Arsenal heheh).
Ligi ya Uingereza ni ligi yenye kujua kuji-market. Mara nyingi hata ununuzi wa wachezaji unaangalia soko la watazamaji.
Hivyo kwa ligi kama ligi unaweza ku-argue kuwa ni bora and more entertaining lakini kwa timu moja moja unakuta kuna timu kama Real Madrid labda au Barcelona ambazo ni bora kuliko timu za ligi ya Uingereza ila kwa ligi nzima ya Spain inakuwa sivyo.
Danny Drinkwater....
Naona kama career yake ndiyo imefikia mwisho.
Aligoma kuondoka msimu wa kiangazi wakati wa dirisha la usajili akiamini kocha atakayekuja atamtumia.
Ana miaka 28 sasa
bro apa utakuwa umezingua.Siioni sababu ya Sarri kutomuamin Odoi mpaka muda huu. Odoi ni bora kuliko Willian na Moses
Wametoka kwenye timu ngapi za La Liga??!Kwa miaka 10 mfululizo ......
Wachezaji bora wa dunia wametoka ligi gan?
Uefa team za ligi ipi zimechukua?
Europa zimechukua team za ligi IPI?
Club bingwa dunia zimechukua team za league IPI?
Sorry kiswahili changu c kizur but mtu akipata majibu ya hayo maswali atajua ligi gan ni bora
Hata leo hajapangwa.Mkuu naona Danny bado ana nafasi nzuri tu ya kicheza. Hasa kwam gemu kama hizi za leo ..anaweza kuwa sub nzuri tu ya Fab au Barkley
Sidhan yaani mpaka kocha pellegrin anasema alikuwa anakaba upande wa hazard. Maana upande wa willian hauna effect. Finishing ya Odoi ni hatari kk labda huangalii game zake hata pree season kacheza ndo alikuwa main player wetubro apa utakuwa umezingua.
Willian ana uwezo mkubwa wa kubadilisha matokeo.
Odoi ana mengi ya kujifunza kwa Willian...
SS3Supersport wanaonyesha hii game ya Chelsea?
Morata anazingua sana huyuChelsea wanacheza kama Real Madrid, They have all the possession lakini finishing butu
Naona wanamnyima pasi za wazi kabisa aisee kama tatu nimeona Morata yuko peke yake kabisaMorata anazingua sana huyu
Hawa hata wabane vipi watafungwa tu mkuuAingiage huyo hazard mikeka itiki
Sasa teama bila hazarda haipati matokeo