Mkuu we huna tofauti na mimi. Kipindi hicho tunasoma history na mambo ya utumwa. Ndio sababu iliyonifanya nianze kushabikia Chelsea.![]()
siku kama ya leo ,miaka hiyoo, wale tulioshabikia chelsea sababu ya MA BLACK kuwa wengi mnamkumbuka vizuri huyu
Kugongana point inaweza kua:Epl haifananishwi banah ni ligi bora aisehhh sio mpaka nikuoneshe, angalia nafasi ya kwanza timu mbili zinagongana kwa point ambacho kinawatofautisha ni magoli, timu zina spirit mpaka ni ngumu kutabili ushindi sio timu kubwa sio timu ndogo,ukienda seria A juventus kamuacha napoli kwa point
RLC hachangamki sana. Ila alipokua CRY Palace alikua tofauti kabisa. Nadhani anakosa kujiamini pia.View attachment 886360
Kuna uwezekano dogo akapangwa kuanza leo..aache ulegelege anapokuwa hana mpira.
Mkuu nasikia hii Europe ndogo haina ubia na Super sports ktk kuonyesha michuano hii, hivi ni kweli kiongozi...?View attachment 886360
Kuna uwezekano dogo akapangwa kuanza leo..aache ulegelege anapokuwa hana mpira.
Mkuu nasikia hii Europe ndogo haina ubia na Super sports ktk kuonyesha michuano hii, hivi ni kweli kiongozi...?
Siioni sababu ya Sarri kutomuamin Odoi mpaka muda huu. Odoi ni bora kuliko Willian na Moses
Ahsante mkuu nimekupa aiseeHili ni suala jipya kwangu...
Nimeangalia sasa hivi TV schedule ya Supersport 3 na mechi zitaoneshwa.
Itaanza ile ya Arsenal na Quarabag kisha yetu.
Mpe Willian heshima ya umri wake tafadhali.
Uwezo wamezidiwa ila umri ndo mkubwa. Effect ya Odoi kwenye game ni tofauti na hao (Willian na Moses)
"In king Gwaba voice"CARABAO CUP FOURTH-ROUND DRAW
AFC Bournemouth v Norwich City
Arsenal v Blackpool
Burton Albion v Nottingham Forest
Chelsea v Derby County
Leicester City v Everton/Southampton
Manchester City v Fulham
Middlesbrough v Crystal Palace
West Ham v Tottenham Hotspur
Japo anachoka mapema lakini Willian ni mchezaji bora badoMpe Willian heshima ya umri wake tafadhali.
England kweli ni league bora sana na yenye ushindani ila kuna vilabu bora duniani ambavyo ni real madrid, BarcelonaNashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
Mkuu hujampa heshima yake willianSiioni sababu ya Sarri kutomuamin Odoi mpaka muda huu. Odoi ni bora kuliko Willian na Moses