Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona Lampard anaiomba klabu ya Chelsea iwaruhusu Fikayo Tomori na Mason Mount wacheze dhidi yetu wakati tutakapokutana dhidi yao (Derby County).

Sheria za mchezo zinasema wachezaji waliotolewa kwa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya timu mama isipokuwa kwa makubaliano ya awali baina ya timu hizo mbili.

View attachment 884475
Hawa madogo kumbe wako mkopo Derby Count! kwani sheria inaruhusu muchezaji kucheza dhid ya timu yake mkuu?
 
Hata Mane Hasemi Kuwa Anataka Kuondoka Liverpool! Lakini Haongezi Mkataba.

Na Hazard Hasemi Kuwa Anataka Kuondoka Chelsea lakini Haongezi Mkataba.

Mkuu Kinachomueka Mchezaji Kwenye Timu si Muonekano Wake Bali Ni MKATABA.

Mchezaji Kubaki Neutral Mana Yake Ni Kuwa Anataka Aondoke Kwenye Timu na Heshima.

Time Will Tell

NOTE: SIJASEMA KUWA HAZARD LAZIMA ATAHAMA
Sio lazima awe anataka kuondoka
Kudelay kusaini ni mbinu za kuboresha mkataba tu. Wakati wanadelay, huku nyuma kuna mazungumzo ya kimaslahi kwa pande zote mbili. Wakifikia muaffaka mkataba unasainiwa
 
Mkuu kila Jambo Lina Muda na Kiasi Chake! Kama Game Yetu imeshapita Nadhani Sasahivi Ungelikomaa Na Timu Yako ukaachana Na Hizi Habari Za Liverpool.
Mwanamme anazungumza Jambo halafu likaisha au Huwaoni Washabiki Wenzako Humu Kama Wameshaachana nazo Hizi Habari za Liverpool?
Najua wewe Ngwaba ni shabiki mstaarabu lakini wenzako No
Liverpool size yake Singida United tu
 
Naona Lampard anaiomba klabu ya Chelsea iwaruhusu Fikayo Tomori na Mason Mount wacheze dhidi yetu wakati tutakapokutana dhidi yao (Derby County).

Sheria za mchezo zinasema wachezaji waliotolewa kwa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya timu mama isipokuwa kwa makubaliano ya awali baina ya timu hizo mbili.

View attachment 884475
Chelsea wasikubali kabisa
 
In other news: Batshuayi anasema hatamani kubaki Valencia permanently. Anatamani kurudi Chelsea baada ya muda wake wa mkopo klabuni hapo.

Mpaka sasa akiwa Valencia amecheza jumla ya mechi 7 na kufunga goli moja tu.

Msimu ambao alinufaika sana ni alipokuwa kwa mkopo Borrusia maana alifunga magoli mengi kulinganisha na mechi alizocheza.

View attachment 884528

Arudi ama la?


HAPPY BIRTHDAY TO HIM...leo ametimiza miaka 25.
I think we need Mauro Icard mkuu mentor
 
celestine-babayaro-chelsea-fc-04-march-2000-je0f73.jpg

siku kama ya leo ,miaka hiyoo, wale tulioshabikia chelsea sababu ya MA BLACK kuwa wengi mnamkumbuka vizuri huyu
 
Fabregas is making contingency plans over his future. This is because his contract at Chelsea expires at the end of the season
 
Been watching the U19s, now waiting for Sarri. Press conference starts in approx 10 mins.

Terry, Bulka, Ampadu, Zola, Hasselbaink and Flo among those I spotted down there. #CFC
 
Sarri on Chelsea winning the Europa League: "I think that the Europa League is a very important competition so we have to play very well tomorrow. We have to play against a good team. They played well in their first match and were a bit unlucky, I think." #CFC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom