Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Barkley on England call: "I feel the amount of game I have played leaves me ready to be called up." #CFC
Nimeipenda hiyo ya kuwa kwenye same wavelengthBarkley on Hazard and his team-mates: "Just being on the same wave length seeing how quick they think, playing with Willian, Hazard and Pedro and seeing how quickly they think, it is about trying to be on the same wave length as them." #CFC
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
England ni ligi maarufu, si bora.Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
Epl haifananishwi banah ni ligi bora aisehhh sio mpaka nikuoneshe, angalia nafasi ya kwanza timu mbili zinagongana kwa point ambacho kinawatofautisha ni magoli, timu zina spirit mpaka ni ngumu kutabili ushindi sio timu kubwa sio timu ndogo,ukienda seria A juventus kamuacha napoli kwa pointEngland ni ligi maarufu, si bora.
Ligi gani unaweza kuifananisha na ligi y England kwa mfano kwa ubora,England ni ligi maarufu, si bora.
ubora Epl inaachwa mbali sana na Laliga, kwa maoni yangu mkuu.Ligi gani unaweza kuifananisha na ligi y England kwa mfano kwa ubora,