OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wale hawaamini kama wamesuluhu ...hata Klopp atakuwa haamini; maana waliona Chelsea ni njia nyepesi sana.
Sasa #TutaheshimianaTu.
Sasa #TutaheshimianaTu.
Nimemsaidia yule jamaa anaeletaga stats za mechi kutoka sources tofauti
Hio sarriball wapigieni mafamba wengine
Sarriball ya nyoko!!!! View attachment 881730View attachment 881731View attachment 881732View attachment 881733
If you celebrating this result you are retardedNimemsaidia yule jamaa anaeletaga stats za mechi kutoka sources tofauti
Hio sarriball wapigieni mafamba wengine
Sarriball ya nyoko!!!! View attachment 881730View attachment 881731View attachment 881732View attachment 881733
Kwa hiyo umefurahi kupata sare.?Sarriball anajua kufundisha mpira!
Leo ilikuwa ni EPL sio kombe la BATA,huwezi mfunga Liverpool huyu akiwa kamili hata tuchezee Mvomero
Ilikuwa mechi nzuri sana lkn mmekutana na Liverpool yenye benchi zuri
1-1 ni fair result
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Mentor
Ntuzu
kalou
Ollachuga Oc
hazard cfc
Fuatilia post zangu Huku toka mwanzo kabla ya match nilisema inaisha sare hii matchKama unafuatilia Posts Zangu basi utagundua Huwa Ninakataa Katakata Kutabiri Matokeo na Husema Kuwa Mimi Ni Muumini Wa Dakika 90'.
Nakushauri Kuwa Nawewe ujifunze hivyo.
Huna team ya kumfunga Liverpool kamiliKwa hiyo umefurahi kupata sare.?
Fuatilia post zangu Huku toka mwanzo kabla ya match nilisema inaisha sare hii match
Kama unakuja kushangilia point moja huku wewe ni MPUMBAVU , nilifikiri utaendelea na msemo wako wa "someone will suffer ".. Stupid ..
Liverpool kamili ndio ipi???Huna team ya kumfunga Liverpool kamili
Sio Carabao hii
Ulisema sare au chelsea ashindeFuatilia post zangu Huku toka mwanzo kabla ya match nilisema inaisha sare hii match
Carabao cup hapo mngetufungaFuatilia post zangu Huku toka mwanzo kabla ya match nilisema inaisha sare hii match
Hongereni kwa Sare.Huna team ya kumfunga Liverpool kamili
Sio Carabao hii
Soma tena uone kama am celebrating the resultsIf you celebrating this result you are retarded
Si mlishinda kwetu Kombe la Mbuzi?Hongereni kwa Sare.
#Sarriball
We kwa nn hukushinda kwenu.?Si mlishinda kwetu Kombe la Mbuzi?
Kwa nn msishindekwenu>?
mkuu kuna watu kwao bila kutukana wanahisi hawatauona ufalme wa mbinguniMimi ni Mshabiki Wa Mpira Kwahiyo Siwezi Kuandika Maneno Kama Uliyoandika Wewe Kwani Sijui Upo Katika Hali gani..
Na Sijaja Kushangiria Draw (Point 1) Hapa bali Nimeleta Mrejesho Kwa Watu Maalum Kwa Post Zangu za Last Week nilizoziandika.
Na ndiyomana Nimetaja (Nimetag) Jina Kwa Kila Post Nikimaanisha Si Ujumbe wa Kila Mtu bali Ni Watu maalum.
Brother Jifunze Usataarabu Wa Kuzungumza na Wanaume Wenzio Bifu zisizo na maana Hazitakusaidia kitu.
Hata usingetia neno UPUMBAVU au STUPID basi ningekuelewa tu haina Haja ya Kuonesha kuwa Unajua Kupakazia.
Ni ushauri tu! Ukihisi upo sawa unaweza kuendelea.