Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu pekee inayotakiwa kufurahia matokeo haya ni Man City
nyie chelsea ndio mnatakiwa kufurahi.tulikua tunabeba points zote 3 leo hapo kwenu, timu yenyewe wachezaji wanakimbia kimbia tu ovyo na hazard wenu.
 
hatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.
Hii ni EPL ,kama mnataka EPL mtulize mishono, EPL haipatwi kwa kuifunga Chelsea au any other BIG team ,unless muwe RETARDED .F.y.i rudi usome comment yangu kuhusu Klopps aproach ya mechi ya Leo kwenye Uzi wenu kule
 
Liver mtaanza kunyooka soon mkitandikwa game mbili mfululizo tuanze kuquote maneno yenu ya timu ya ushindani sijui ni city na nyinyi. Gadiola mwenyewe bado hajiamini Kama ameshakaa usawa wa kukimbiza ubingwa nyie game tano tu za mwanzo mmeshaanza kujipiga makalio kuwa ni mabingwa..
 
kopites kuna watu size yako wataku quote ,sio Mimi .. Wewe endelea kuomba na kusali siku Moja uone kwa macho yako timu yako imechukua EPL ,Sio kwa ku angalia YouTube
 
Kesho tutarudi hapa ku discuss goli tulilofungwa , kosa la nani ?
Kipa? mabeki? Formation?au? Wadau muhimu naomba muda mtumie kuangalia tena na tena highlights .KTBFFH
 
Hii ni EPL ,kama mnataka EPL mtulize mishono, EPL haipatwi kwa kuifunga Chelsea au any other BIG team ,unless muwe RETARDED .F.y.i rudi usome comment yangu kuhusu Klopps aproach ya mechi ya Leo kwenye Uzi wenu kule
sio kama mnataka, tunataka tunajilaumu kukosa points 3 hapo darajani. hata ww unajua uwezo tulikua nao leo, tumemiliki mpira tumekosa goli za wazi kbs.

hongereni kwa kupata draw.kukimbia kimbia kumewasaidia

sarriball
 
Kesho tutarudi hapa ku discuss goli tulilofungwa , kosa la nani ?
Kipa? mabeki? Formation?au? Wadau muhimu naomba muda mtumie kuangalia tena na tena highlights .KTBFFH
sio uzembe ile ilikua imepimwa ikapimika.kipa kashangaa tu nyavu zinatikisika
 
sio kama mnataka, tunataka tunajilaumu kukosa points 3 hapo darajani. hata ww unajua uwezo tulikua nao leo, tumemiliki mpira tumekosa goli za wazi kbs.

hongereni kwa kupata draw.kukimbia kimbia kumewasaidia

sarriball
Mkuu achana nae usi quote
 
Sio unafurahia kuokoka na point moja baada ya kukaa dk 70 zote roho ikiwa mkononi baada ya kutandikwa
mpira ni dk 70 cku hizi? mbona ww dk 2,zimewashinda kulinda goli?

sarri ball. imeshindwa kulinda ushindi bado dk 2?
 
Rio Ferdinand: "Special credit has to go to Sarri. For him to implement his ideas at such a quick rate is phenomenal. That is the sign of a great manager. A great coach." #CFC
 
Klopp: "We deserved a point, we deserved to win. Both teams deserved a point but we had more chances. #Chelsea are a super, super team." #CFC
 
Klopp: “A good football team creates chances. Sometimes you score, sometimes you miss, coming in these situations in the box is not simple against a side like #Chelsea and we still did it. I’m completely fine." #CFC
 
Sarri: "I had a smile at the end with Klopp because I enjoyed it - the match was beautiful. I am happy with the performance and disappointed they scored in the last moments, but the draw was a deserved result." #CFC
 
Sarri On Hazard: "He’s able to score 40 goals. He needs another 33. He’s trying to do it. I’m really very happy with the defensive performance, especially in the second half." #CFC
 
Sarri on lack of goals from Morata & Giroud: "I’m not really worried about it'....we have wingers." #CFC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom