Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BTW angalia jinsi Spurs walivyofanywa na vijana waliowatoa kamasi jana ... ... ..

FULHAM-LIVE_1240114a.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
BTW angalia jinsi Spurs walivyowafanya vijana waliowatoa kamasi jana ... ... ..

FULHAM-LIVE_1240114a.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Duuuh! Yaani Spurs kufungwa 4-0 ndio KUWAFANYA Fulham??!!:sick:
 
Duuuh! Yaani Spurs kufungwa 4-0 ndio KUWAFANYA Fulham??!!:sick:

At least uwe happy kidogo na matumaini ya Champions League mwakani na mpinzani wako mkubwa kwenye hiyo nafasi.

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ndiyo maana nasema uko very bias and hypocritical, unasema alichosema Carroll kwa Loserfools lakini hausemi chochote kuhusu statement ya kocha wa Newcastle, Alan Pardew aliyoitoa kupinga kauli ya Carroll. Najua unajua alisema nini, lakini kwa kuweka record sawa hiyo hapo chini
Peasant, nimeangalia BBC, Guardian, his interview kupitia Home - Liverpool FC zote amesema he has huge repsect for the magpies and he didnt want to leave, he was forced na magpie waliona inflated price wakaipenda... follow this link Andy Carroll claims he was forced to leave Newcastle for Liverpool | Football | guardian.co.uk

Na liverpool owner alisema his valuation of Carrol was 15M less than Torres ili hiyo 15 aongezee 6 ya Babel kumlipia Suarez... that is rational business decision, let alone a smaller payroll compared to To-rest and Barber

Mbona unabishia vitu vilivyo wazi?? hebu google search And Carrol transfer to Liverpool au weka Carrol: i didnt want to leave newcastle

Umeshikwa pabaya chutama mkuu mwenzangu
 
BTW angalia jinsi Spurs walivyofanywa na vijana waliowatoa kamasi jana ... ... ..

FULHAM-LIVE_1240114a.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
I thought spuds walifungwa kombe la kinesi

Khe Khe KHeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..... scums got kicked in the ass

Khe kHe KHeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Peasant, nimeangalia BBC, Guardian, his interview kupitia Home - Liverpool FC zote amesema he has huge repsect for the magpies and he didnt want to leave, he was forced na magpie waliona inflated price wakaipenda... follow this link Andy Carroll claims he was forced to leave Newcastle for Liverpool | Football | guardian.co.uk

Na liverpool owner alisema his valuation of Carrol was 15M less than Torres ili hiyo 15 aongezee 6 ya Babel kumlipia Suarez... that is rational business decision, let alone a smaller payroll compared to To-rest and Barber

Mbona unabishia vitu vilivyo wazi?? hebu google search And Carrol transfer to Liverpool au weka Carrol: i didnt want to leave newcastle

Umeshikwa pabaya chutama mkuu mwenzangu

Mkuu MTM,
Nafikiri haujaelewa ninachojaribu kusema hapa. Sikatai kwamba Carroll alisema hakutaka kuhama Newcastle kwenda Liverpool, nakubali kabisa kwamba alisema. Lakijni baada ya yeye kutoa hilo tamko, manager wa Newcastle, Alan Pardew alilipinga na kusema Newcastle hawakumlazimisha Carroll kuondoka, nini yeye mwenyewe Carroll alikuja na idea kwamba anataka kwenda Liverpool na akatoa transfer request (nimekuwekea quote kwenye previous post). Kuanzia hapo hakuna aliyejitokeza kupinga statement ya Pardew, kwa hiyo inawezekana kabisa Carroll aliongopa ili kutowaudhi washabiki wa Newcastle. Kinachonishangaza ni wewe unazidi kuniwekea story ya upande mmoja tu aliyosema Carroll, lakini hausemi chochote kuhusu story ya Pardew ambayo inapinga story ya Carroll, hili ndio linanifanya nikuone uko hypocritical.
Na wewe unaweza ku-google Andy Carroll wanted to leave, utapata kila kitu huko...nashangaa kama ulikuwa haujui hii habari kama Liverpool fan.
Try to be impartial, modern football is all about money not loyalty.
 
Dont rush into that bro....koz bado hamjacheza na Man U twice...so hapo mna point 6 na mtakua mmeshapunguza gap kwa kiasi kikubwa sana....Yaani kati ya waliopo juu yenu ni Arsenal tu ndo mmeshamaliza nao game...the rest mtacheza nao...Yaani T'ham, and Both Manchester Clubs City and Utd.....So its up to ur Men to do it on the pitch....Coming May nobody knows....

We will need such kind of ''mind games''
 
Nimemuona leo Invisible kwenye thread ya Gatuso,bado AB Tchaaz
 
Nimemuona leo Invisible kwenye thread ya Gatuso,bado AB Tchaaz

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee anafikiri ataokota tende Baghdad .... ...... na wewe vipi mbona leo huondoki hapa jamvini? Nimepata habari kwamba kule kibera umeme wamekata hivyo usitegemee mujiza.
 
article-1358476-0D3D62F9000005DC-666_634x422.jpg

The lone figure ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeee

barred-owl.jpg

BTW : Bundi amekataa kuondoka leo kutokana na mvua iliyokuwa inanyesha kwa kiasi .... ..... ..... ameamua kupumnzika kwenye makuti (near the cow shed) hivyo matanga ni kama kawa ..... .... you better kiss FA cup goodbye khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa mpira huu ndugu zangu Z Bluzz mlioonesha first half, mkiendelea nao kwa mwezi tu mmoja mbeleni, am comfortable to say tht msimu ujao Mnacheza Europa League na kina Liva.
Tuko pamoja.
 
Huyu Ramires vp???? Anajifunza Kuogelea?????????????? "DIVING"
 
kwa mpira huu ndugu zangu z bluzz mlioonesha first half, mkiendelea nao kwa mwezi tu mmoja mbeleni, am comfortable to say tht msimu ujao mnacheza europa league na kina liva.
Tuko pamoja.

age
 
Ab Tchaz a.k.a. Mzee Wa Mapichaz a.k.a. Supa Moderator
Popote ulipo, tuwasiliane. Nko Michigan hapa na zawad yako ya Asali toka kwenu Unywamwezini. Hahahahahaha!
 
Kila nikimwangalia Ramires siamini kama hyu ndiye wa Sauzi. Au ndo usemi ule kuwa EPL haiwafai Wa America kusini?
 
Kila nikimwangalia Ramires siamini kama hyu ndiye wa Sauzi. Au ndo usemi ule kuwa EPL haiwafai Wa America kusini?

May be.....ila wapo waliofanya good....mf. Gilberto Silva....ila kuna yule alieenda man City now AC Milan nae EPL ilimshinda.........
 
Yep, Silva kiasi, ila kina Jo, Klebrson, Anderson wetu, dogo wenu yule mido wte wame underperform vis a vis walikotokea.
 
Branislav Ivanovic. ndo anaibeba the Bluuz now....Jamaa anajituma sana......ANAJUA...
 
Sure, timu haina form (ina class though), apa ata aje Messiah, amna kitu. Unaona butuabutua hyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom