kinachoipata chelsea (bingwa mtetezi) kinanikumbusha blackburn mwaka 1996....
Europa Cup
Bora useme wewe Abraham O Vich alikwishaona alama za nyakati na kugundua kwamba hamtacheza Champions League ndio sababu ana vurugu sana na mpunga wake. Mpatie pole Mungiki Brother kule Kibera pamoja na Rev. Kishoka amekuwa Invisible sana hata Peasant's nao naona wamechoka sana zile sala za Rev. Masanilo hazisaidii kitu kwa sababu u-rev wake ni wa bandia. Tafadhali mwombe Elnino alete kile kimbunga chake ili bundi ahame kwa muda tunamuhitaji sana kule Old Trafford ingawaje salam kutoka United Arab Emirates zinasema hawawezi kutoa 1.8 billion kwa goli moja tu la Wine Romney ... ...... ....... ..... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
BTW nimenong'onezwa kwamba ati wananisubiri J5 nitakapokwaana na Barca wamesahau kwamba kitale huwa kinachezwa pale Emirates si tuliwatoa kamasi pale, waambie hilo ni Dua la kuku tu hata siku moja huwa halimpati Mwewe. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee waambie waje washangilie ushindi wetu mpira wetu ni dakika 180.
Duuuh mil 50 imeliwa no refunds ,tayarisheni mil 50 nyingine mkamchukue meireles ha ha ha .
kinachoipata chelsea (bingwa mtetezi) kinanikumbusha blackburn mwaka 1996....
Europa Cup
...£50m Torres ni sawa na 'malfunctioning software'....! ha ha ha!
![]()
...LOL, Chelski panic buttions and sirens everywhere!
....duuuuhhh!, what a comparison! ha ha hahaahaa!
...na wasipoangalia Liverpool na Sunderland watawa overtake very soon.
Khe khe khee eheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
New Chelsea signing Fernando To-rest has continued to show how much his every penny worth by ensuring that the scums keep a second consecutive clean sh!t. To-rest defended very well against Mohammed Al Fayed kids and he showed no signs of scoring any own goal... the scums will also be very impressed with his work rate and fitness
Meanwhile, To-rest daughters will be offered new contracts to keep them at the bridge for the coming five years, this will definitely allay any fears of To-rest family moving back to Spain (where he is badly needed by the bookmakers as the most predictable defender of all times)
Chelsea manager Carrot Enchilada was very much impressed by To-rest back passing skills and has promised to fight for new contract for his newly recruited crap!
I just hope tunakutana na ninyi next round tukate mzizi wa fitina.
Duuhh!! Nianzie wapi? Maana naona WUMs kibao hapa darajani kwetu. Anyway, kwa wale wanaofikiri tutacheza Europa league nafikiri wanajaribu kujipa moyo tu, Chelsea tutamaliza ndani ya mbili bora (tatizo kubwa ni Manchester U), I've just bet my breath on that....LOL
MTM, inaonekana Torres amekuuma sana kwa kuhama, you just can't get over it, sikulaumu sana kwa hilo Liverfools (a club with PAST history but NO FUTURE) wanajulikana sana kwa kuwa bitter kwa wachezaji wao waliohama. Lakini kinachonishangaza mbona hawamwoni Andy Carroll kama msaliti kwa Newcastle, HYPOCRICY OF THE HIGHEST ORDER. Get over it you sad losers.
Fat Arse plastics, I personally wish you the best on Wednesday, it's all about European Cup, so I don't mind if EPL league are doing well. Msiwe na wasiwasi maana naona Robin van Pussy yuko kwenye form nzuri na anapiga mabao. I just hope tunakutana na ninyi next round tukate mzizi wa fitina.
kachanganyikiwa huyo...Mgonjwa anaomba pambano la ngumi?
Mgonjwa anaomba pambano la ngumi?
Andy Carrol hakuataka kuuzwa, na amesema wazi kwahiyo hapo hakuna hypocricy ila kwa Torres ni usaliti kwani ameomba... ila kwa chlsi amenoa kwani hamchukui chochote mwaka huu wala mwakani, ni bora angeenda hata southampton
Back to the scums.... Khe Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, timu nzima ya asenali nyie mchezaji mmoja halafu chanu!!!
Khe Khe Khe khe khe heheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Pole bana, najua inauma sana uchungu lakini utafanyaje??
TUnauza na Meireles na Suarez, njooni mtusaidie tupate pesa bana baana nyie ndio dustbin yetu
Mkuu, i have got nothing but love for yaMbona unajishushia heshima hapa jamvini kwa kuongopa mchana kweupe ndugu yangu?!! Andy Carroll aliwapa club transfer request, baada ya Liverpool kumtaka. Sasa sio kuomba kuamwisha huko mkuu? Au hii inamaanisha nini kwenye vitabu vyako?
The last time nimecheck nakumbuka kuna "takataka" zetu huko Anfield zinakwenda kwa jina la Joe Cole, it's a two way traffic mkuu, and that's what we call modern footy. Najua unapata shida sana kama mshabiki wa Loserfools (an oldie dinosaur club that are stuck in the past) kuelewa how modern football works. The faster you realize how outdated you are, the better for your understanding of modern football.
WELCOME TO THE FUTURE GEEZER..!
Mkuu, i have got nothing but love for ya
Carrol even told anfield that he didnt want to go and he was pressured to hand in a request... he said that right before anfield faithfuls... sikujua kusema hayo nimejishusha, sorry about that
sasa, lile garasha lenu Joe cole tulilipata bure, benayoun mlitupa 5M, to-rest, mmetupa fifty, league tumepiga mbele na nyuma... hivi kweli ntakua na chuki na chesi kweli??
I love chesi with all my heart, they gave me cole for free, 5M for yossi and fifty million for to-rest, not forgetting leagu double
Khe KHe kheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
I love you peasant, i love you Elnino... a friend in need is a friend indeed
:first:
Now how true is Andy Carroll's version of the story? According to boss Alan Pardew, the player is totally wrong as Newcastle United never plotted to have him out of the club.
"We didn't force anybody to leave. I disagree with that point. He had a contract here for 5 years and at some point, it would get renewed.
"But for him to sign in October and get it renewed in January – where would it stop? Personally, I'm disappointed.
"He [Andy Carroll] is a lovely lad and I really like him. But, it was his decision and you cannot change that.
"We were having a discussion about what we were going to do with that [Liverpool's £35M bid] offer when Andy requested to see me.
"I went to see Andy and, face to face, we had a conversation about him wanting a new contract – even though he signed on in October.
"He said that if he didn't get that contract, he wanted to go. I asked him what he wanted and went to the board. We had a discussion about what the ramifications would be for the whole club.
"We took the view – with him signing a contract in October – that this would cause us all sorts of problems. We decided that we needed the conversation confirmed and have him put a transfer request, which he did.
"He spoke to his agent, and between them, they put the request in. We decided with the size of the offer, and what it meant to us, that we would accept it.
"But no club is about one player. We are absolutely gutted that he is gone. It's disappointing, but we are not in a financial position like Liverpool."
What should the public think after hearing Alan Pardew's version of this Liverpool transfer story? Is Andy Carroll just playing a smart game to control the pressure from the criticism he instantly received at the news of this £35M price tag?
soma vizuri maneno niliyo ku-quote ,alafu angalia hayo maneno ndio utaelewa namaanisha nini.Sema si kulaumu manake najua hali ngumu msongamano wa mawazo unachangia.Sasa hapo maana yake nini?! Kwamba hamjiamini kama mtapita kwa Barca, au?! Punguzeni uoga, ilo ndio tatizo lenu inapofika wakati wa kushinda titles mnaanza kujigongagonga.
Peasant wapi Ab Tchaz?.....wapi wale Ma-mods wetu kin Inv?, kijiwe wamekususia alone, wanaonekana wakati wa sherehe tu!?, hakufai hao hata kwa bure.
Peasant wapi Ab Tchaz?.....wapi wale Ma-mods wetu kin Inv?, kijiwe wamekususia alone, wanaonekana wakati wa sherehe tu!?, hakufai hao hata kwa bure.