Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelseaaa kweli wamezeeeka na bado wanaongeza idadi wazee kina torres.

Bora wamefungwa for the benefit of the football game kuonyesha a good football team is not only about cash.

Na manchster city nao wajifunze.

Poleni sana wazeewa darajani. mkosi wa torres nayule kocha mliyemfukuza ndio huo.
 
evertoncelebrateee_2565085.jpg



Watu waleeee wanashangilia baada ya kuwatoa vibonde wa ligi.
 
Yule Anelka naye sijui ndiyo nini kupiga penalty kwa madaha....unacheza mechi muhimu na unajua fika kwamba mkifungwa mnatoka nje ya mashindano. Badala ya kupiga penalty kwa madaha kung'uta kitu cha uhakika ebo!
 
article-1358591-0D43EEBC000005DC-80_634x484.jpg


Penalty? Ramires (right) takes a tumble after going round

Everton goalkeeper Tim Howard

(Alinong'onezwa na Drog the bar jinsi ya ku-dive)


article-1358591-0D43E719000005DC-759_634x418.jpg


Get up: Dowd refuses to award the spot kick

and books Ramires for a dive

(recession inasumbua sana Lamps alifikiri

ametoa mpunga wa kutosha ..... khe khe kheeee)




article-1358591-0D43EF46000005DC-737_634x414.jpg



Frustration: Chelsea players gather round Dowd to vent their fury

(Khe khe kheeee huyo sio Mike Dean khe khe kheeeeeeee..)



article-1358591-0D43FE74000005DC-388_634x411.jpg


Tough going: Frank Lampard (right) is challenged by Phil Jagielka


article-1358591-0D440B7E000005DC-232_634x390.jpg


Drama: Marouane Fellaini shoots past Petr Cech...

but the goal is ruled out due to offside



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-1358591-0D44395C000005DC-524_634x475.jpg



Saviour: Leighton Baines (right) celebrates his fabulous free-kick

 
Mababu wamepigwa leo! huh! kweli ni wazee sasa wamekuwa wazurulaji!! sorry wazee wa darajani!
 
article-1358476-0D3D62F9000005DC-666_634x422.jpg




The lone figure ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeee


barred-owl.jpg





BTW : Bundi amekataa kuondoka leo kutokana na mvua iliyokuwa inanyesha kwa kiasi .... ..... ..... ameamua kupumnzika kwenye makuti (near the cow shed) hivyo matanga ni kama kawa ..... .... you better kiss FA cup goodbye khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee


Nilimwambia Peasant kabla ya mechi lakini mbishi tu ......ngoja tumsubiri kama atatokea khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Wivu umemjaa tu .......khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
_51337843_terry_ap.jpg

Down and out ..... ..... ...





Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Na wamshukuru lines man kwa kuwabeba kwani felain alishawapiga bao, sijawahi kuona kipa kapangua mpira halafu iwe offside!
 
01_COLENEW_1255240a.jpg


BLUE MURDER ... Ashley Cole feels the pain

after his spotkick stinker




2558242333.jpg




1256127529.jpg



Niville kawabangua ki-utu uzima ......






1293140148.jpg



Majuto mjukuu ...... .....




3571225428-19022011160140.jpg



Jt anampongeza Anelka na Cach Cole kwa kukosa penalties


2324209553.jpg



What next for Chelsick khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom