Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard kapoteza bonge la chance........Hii game draw au Blauz wanalala................
 
Hahahahahaha! bundi naona kageuka kuwa kunguru. Mnabahati nyie.
 
Naona wamemrushia bundi mawe khe khe kheeeeeeeeeeeeee Chelsick 1 - 0 Everton ....... ...
 
Hongereni chelsick kwa kumaliza matanga kama mtamaliza , naona Mungiki Brother anaruka ruka kule Kibera tayari kwa safari ndefu ya kurudi Dar na JF rasmi khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Ng'ombe wa masikini Hazai na Akizaa DUME na DUME lenyewe linakua SHOGA......Duuuhhhh....BLUUUZZZZ Taaaaaban..........Penalty na watatoka as there are now not stable......
 
Mkuu MTM,
Nafikiri haujaelewa ninachojaribu kusema hapa. Sikatai kwamba Carroll alisema hakutaka kuhama Newcastle kwenda Liverpool, nakubali kabisa kwamba alisema. Lakijni baada ya yeye kutoa hilo tamko, manager wa Newcastle, Alan Pardew alilipinga na kusema Newcastle hawakumlazimisha Carroll kuondoka, nini yeye mwenyewe Carroll alikuja na idea kwamba anataka kwenda Liverpool na akatoa transfer request (nimekuwekea quote kwenye previous post). Kuanzia hapo hakuna aliyejitokeza kupinga statement ya Pardew, kwa hiyo inawezekana kabisa Carroll aliongopa ili kutowaudhi washabiki wa Newcastle. Kinachonishangaza ni wewe unazidi kuniwekea story ya upande mmoja tu aliyosema Carroll, lakini hausemi chochote kuhusu story ya Pardew ambayo inapinga story ya Carroll, hili ndio linanifanya nikuone uko hypocritical.
Na wewe unaweza ku-google Andy Carroll wanted to leave, utapata kila kitu huko...nashangaa kama ulikuwa haujui hii habari kama Liverpool fan.
Try to be impartial, modern football is all about money not loyalty.

hivi would you trust a person aliyeondoka and has nothing to lose au yule anayetetea maslai asiwaudhi toon army? kocha alisema aliyosema kwasababu anajua bond yake na newcastle si strong kama ya carrol aliyeanzia utotoni pale.... na alimtoa favourite coach pia

you need to put some sense back to your mind bro
 
Khe khe khe eheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

yaani avatar yangu sibadilishi hadi yabadilike

huhuhuhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

with torres it was preassure, without him, its even better

Khe khe khe khe

ile ngome ya maurinho imetolewa kila bikra aisee

khekhe khekheikhekehkeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

chelsea=gombs=bombs=kaboooooooooooooom
 
BWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA

cASHLEYCOLEEEEEEEEEEEEEE HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HAOOOOO GUNDUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU HILOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

ENDELEEEEEEEEENI KUSHANGILIA BARCELONA HILI MUWAPE GUNDU LENU HA HA HA HA
 
Ng'ombe wa masikini Hazai na Akizaa DUME na DUME lenyewe linakua SHOGA......Duuuhhhh....BLUUUZZZZ Taaaaaban..........Penalty na watatoka as there are now not stable......
una undugu na sheikh yahya?
 
Hongereni chelsick kwa kumaliza matanga kama mtamaliza , naona Mungiki Brother anaruka ruka kule Kibera tayari kwa safari ndefu ya kurudi Dar na JF rasmi khe khe kheeeeeeeeeeee

Khe khe khe pole mkuu baki huko huko warusha mawe wamemkosa Bundi khe khe khe yuko Gado khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni chelsick kwa kumaliza matanga kama mtamaliza , naona Mungiki Brother anaruka ruka kule Kibera tayari kwa safari ndefu ya kurudi Dar na JF rasmi khe khe kheeeeeeeeeeee
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee... kuna gundu the scums, huwezi fuga bundi ukitegemea ule mayai
 
I said it.......WAMETOKA...Manda ni bonge la mtabiri...Alisema WATATOKA.............
 
Khe khe khe pole mkuu baki huko huko warusha mawe wamemkosa Bundi khe khe khe yuko Gado khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kunguru kanyea manati leo.......... khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Ah! Chelsick! Poleni sana wakuu...lile garasa lenu (wastage of 50m pounds) hata kwenye bench halikuwepo leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom