Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joginho nimchezaji anaecheza pasi nying zisizo na madhara kwa adui wake

Natania tu jaman vp mhali gan lkn

Yani Mipasi Yote Hiyo Ukiuliza Assist au Goli ndiyo Kichekesho. 😀😀

Wakati Mwenziwe Gini anapiga Namba 6 kama yeye Na Pasi Zake Chache za Kibabe lakini Juzi tu Kawanyoosha Spurs goli la Mapema Sana. 😀😀
 
Yani Mipasi Yote Hiyo Ukiuliza Assist au Goli ndiyo Kichekesho. 😀😀

Wakati Mwenziwe Gini anapiga Namba 6 kama yeye Na Pasi Zake Chache za Kibabe lakini Juzi tu Kawanyoosha Spurs goli la Mapema Sana. 😀😀
Na kusababisha penalti na PSG. Jorginho kitu gani bwana?
 
Not the result we wanted today. But let's remember, Sarri joined Chelsea less than a month before the new season. He had to adapt to a new city and a new league, and yet he has still managed to completely implement a new style. No need to be reactionary.
 
Kila Ukiwa Mzima Ndiyo Ninapokufunga! Au Umeshasahau Msimu Uliobeba Ubingwa na Conte Nilikufanya Nini Hapo Darajani?
Ile gemu ilikuwa ni ya mwanzo kabisa wa ligi. Conte alikuwa bado haja approach mfumo wake kwa Chelsea ..ndo maana mlituotea, lakin gemu ya pili hope tulikaza tuka draw..

Msimu huu takwimu znaonyesha gemu zitakuwa na magoli mengi.
 
Mshaanza ku-drop point. Saikalojikali hii itawaadhiri kwa game inayokuja, na mnajua mnakipiga na nani next game.
 
Hazard had his 1st poor game in ages today. No two ways about it.

Cue rival fans saying he’s inconsistent..
 
Hazard had his 1st poor game in ages today. No two ways about it.

Cue rival fans saying he’s inconsistent..
 
Chelsea - West Ham thoughts:

- Kanté needs to practice shooting
- Kovačić needs to be aggressive
- All defenders were lucky
- Giroud’s limitations showed
- Morata can’t buy it
- Hazard is human
- Willian is frustrating
- Hudson-Odoi can help
- This game was bound to happen
 
Today is sensible from Sarri. Keeps RLC, Christensen, Amapdu and CHO fresh for Wed. They will all start IMO. Rotation ifanyike
 
Mabeki wetu Alonso na Luiz wanazngua sana. Beki wetu bora Rudiger kaumia. RW wetu Pedro kaumia. Willian ni wa kutokea sub. Emerson na Christensen waanze jumatano
 
West Ham vs Chelsea thoughts:

- Luiz needs to be dropped
- Willian should NOT start for us
- Hazard very poor for once
- Kepa growing in confidence
 
"Pedro for us, is a very important player. He is the best player we have because of his movement without the ball. We hope to have him back by the end of the week" - Maurizio Sarri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom