Mkuu Usiwabishe Sasahivi Watakuvamia Kwa Maneno..
Subiri Kuanzia November Wakati Washona Nyavu Kina (Kane, Aguero, Salah Na Lukaku) Wakishakaa Kwenye Nafasi Zao ndiyo uje Uwaulize Mr. Mapenalty Kaishia Wapi?

Hawa Ni Wepesi Wa Kusahau Kwani Hata Kante alipobahatisha goli Kwenye Mechi Ya Kwanza Walimtangazia Kufunga Magoli Mengi nikawaambia Hana uwezo Huo basi Walikuwa Wakali hatimae Sasahivi Wameufyata.
Maneno Ya wakosaji. Km penati zikipatikana Kwa Liver mpeni Sarafina jamani kwanini mnashindwa kumpa?
 
Ninachopendea hili jukwaa lina washabiki ambao hawana stress kwa sababu ya jinsi mlivyoanza vizuri kwenye ligi.

Kuna jukwaa moja la mashetani wekundu ni noma. Ni kama vile shetani kawapitia.
 
Ntakuanzishia kikosi cha kina solanke na burnhood lakin naapa hutochomoka
Klopp hawezi kuanzisha kikosi cha michekea. Ataweka full beanbag kurinda heshima ya nyumbani lkn mtagongwa hapo hapo nyumbani na mkija darajani mtagongwa vibaya.


Gorginho na Kante si watu wazuri hapo kati.


Nyie wekeni ile mijitu yenu mi kina Hendo ile mizezeta na kile kiholanzi ki Jojino Ujinadamu muone Kante atakavyo kichafua
 
Nimeona loserfool wamevamia uzi wetu kweli. Nini imekua shida?


Au wameumia kuona Chelsea iko juu hapo?


Chelsea iko juu Kwa tofauti ya magoli na tarehe 29 itakua juu Kwa tofauti ya point 3 au zaidi dhidi ya Liverpool
 
Klopp hawezi kuanzisha kikosi cha michekea. Ataweka full beanbag kurinda heshima ya nyumbani lkn mtagongwa hapo hapo nyumbani na mkija darajani mtagongwa vibaya.


Gorginho na Kante si watu wazuri hapo kati.


Nyie wekeni ile mijitu yenu mi kina Hendo ile mizezeta na kile kiholanzi ki Jojino Ujinadamu muone Kante atakavyo kichafua
Kikianza chenyewe mtatafuta pa kutokea
 
Liver tulieni ndo maana mkikutana na wahuni kila mtu anawacheka,

yaani kumfunga psg tena mkiwa kwenu, limekua neno wakuu?

-tulieni asee ligi ndo kwanza imeanza hiyo.
tatizo wapinzani wetu waliamini tutafungwa na kutoa maneno ya kejeli kwahiyo si vibaya tukiwajibu, ni washabaki wa man u pekee ndio waliamini kuwa liver ipo kundi la kawaida
 
Sarri on if Loftus-Cheek play: "I don’t know about Loftus. For me he is a very good player. I don’t know if there is a spot tomorrow. There is in the future. Now it is very difficult because in the first part of the season it is very important to play with a very solid team. #CFC
 
Sarri: "Unfortunately you have to play with 11 players, 17 players tomorrow won’t agree with me. There is a match tomorrow and on Wednesday after Sunday at West Ham. There will be a chance for everyone, but not for 25 or 28 players the truth is this."
 
Sarri on Callum Hudson-Odoi starting: "For Odoi in his position in the last match played Pedro and Hazard. I have also played Moses and Willian. Ampadu, Odoi and Loftus are the future, I don’t know if the right time tomorrow is for Odoi."
 
Sarri on PAOK: "I have seen the four matches about PAOK in the play-offs and the matches of the Greek Championship. I hope to know everything, we want to know their characteristics."
 
Sarri: "Tomorrow will be difficult, not as somebody told me for the atmosphere, it will be difficult because they are a good team. They have a very good team and we have to do a very important match if we want to gain points"
 
Willian on Chelsea's form: "Of course we have started very well this season with five wins in a row. We are confident and we can do good things these days. It’s a different competition, we want to start well and win it." #CFC
 
Willian: "I am very happy. Always I was happy at #Chelsea. I don’t want to talk about the past. I am happy with the new manager and profile of football. I think we have a great team atmosphere and we can do everything to win titles."
 
Back
Top Bottom