Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hongereni kwa mwanzo mzuri
Lkn kila mechi lzm mruhusu bao
Hata na Cardif jamani?
3-1 na Liverpool easy kabisa
Hongereni kwa mwanzo mzuri
Sarri-Tumbaku bana
Hazrd mchezaji bora kwa kufunga mabao ya penalty
Bao 5 hapo mbili za penalty
Mane bao 4 zote open play,kocha mwenye akili zake hapo angenyamaza tu kimywa
Hazard-Penalty!
Kwa hiyo Sarri amsifie Mane?mzee wa majogoo unazingua ,kumbuka Hazard mechi ya kwanza aliingia kama substitution dakika 76 ,na mechi ya pili aliingia dakika ya 61 kwa hiyo amecheza muda mchache zaidi kiliko Mane. Wewe endelea kumuombea Michu wenu afufuke maana kuleSarri-Tumbaku bana
Hazrd mchezaji bora kwa kufunga mabao ya penalty
Bao 5 hapo mbili za penalty
Mane bao 4 zote open play,kocha mwenye akili zake hapo angenyamaza tu kimywa
Hazard-Penalty!
Haya makapi yalibeba uefaKama Nyinyi Mulivyochukua Makapi Yetu Torres, Benayoun, Meireles and the likes..
Happy?
Halina ubishiMaurizio Sarri: 'I thought Hazard was one of the best players in Europe but now I’m changing my mind, maybe he’s the best.'![]()
Siku zote tunasema penalty ni bahati nasibuSarri-Tumbaku bana
Hazrd mchezaji bora kwa kufunga mabao ya penalty
Bao 5 hapo mbili za penalty
Mane bao 4 zote open play,kocha mwenye akili zake hapo angenyamaza tu kimywa
Hazard-Penalty!
Haya makapi yalibeba uefa
ThubutuSiku zote tunasema penalty ni bahati nasibu
For me penalty ni mtihani mkubwa kuliko kufunga kawaida so wapiga penalty waheshimiwe
Hazard MAPENATI ?Wanapoongelea Ufungaji Wa Hazard Kuwa Msimu Huu atafunga 30+ goals Huwa Wameshafanya Mahesabu Kuwa Atafunga 10 Goals + 20 (Goals za Penalty) ambayo ndiyo Watapata Hizo Goli 30.
Na Hilo linawezekana Kwani Tayari Wamecheza 5 Games, 3 Penalties in 3 Games out of 5 Games.
Hazard amepiga 2 Penalties in Two Games out of 5 Games.
Hakuna kazi rahisi isiyo na mawazo kwa mfungaji kama kufunga kawaidaThubutu
Kufunga open play ina maana unajua kuji position
Hadi sasa Mane ni zaidi sababu sisi penalty zetu anapiga Milner na tumepata penalty
Hapana ,Ni Mo MichuHazard MAPENATI ?
Mo Michu msimu huu atashindana magoli na beki letu Alonso , one season wonderThubutu
Kufunga open play ina maana unajua kuji position
Hadi sasa Mane ni zaidi sababu sisi penalty zetu anapiga Milner na tumepata penalty
Unapoongelea takwimu jaribu na kuweka dakika walizotumia uwanjani pia.Sarri-Tumbaku bana
Hazrd mchezaji bora kwa kufunga mabao ya penalty
Bao 5 hapo mbili za penalty
Mane bao 4 zote open play,kocha mwenye akili zake hapo angenyamaza tu kimywa
Hazard-Penalty!
Huyu wamemtanguliza kwa baiskel ya barafPremier league statisticsView attachment 869172
Maneno ya mkosajiHuyu wamemtanguliza kwa baiskel ya baraf