More to Come........Mengi yanakuja......Rudi nyumbani kijana Kumenoga, sasa hivi ni pilau nyama kila uchao.......



skysports-maurizio-sarri-chelsea_4424547.jpg



Pia cheki huyu jamaa, si mimi ila ni takwimu zinaongea......

View attachment 869920


Soma hapa chini majibu ya Sarri alipohojiwa na Mwandishi wetu kuhusu Jorginho......

Jorginho ni zaidi ya mpikaji pale dimbani, anatoa amri kwa wachezaji wenzake wacheze vipi, Ni Mwanaume wa shoka kwa Sarri, anafundisha namna ya uchezaji kwa mfumo mpya wa kushambulia kwa kasi wakiwa wanamiliki mpira kwa kiasi kikubwa hasa wakishavuka mstari wa kati (Pressing....) Huu ni mfumo mpya na mtamu kabisa ukiringanisha na ule wa Conte pamoja na Jose ambao timu ilishinda ligi kwa kupaki basi, lakini huu ni tofauti kabisa.

Sarri anaendelea kusema kwamba " Ni kucheza mpira na si kukimbia na mtu - Jorginho analijua hilo zaidi ya mtu yeyote na ndiyo maana akienda ku-press mbele anajua kama wakipoteza mpira awe wapi kwa wakati gani ili kuwalinda mabeki wake 4, hilo sina wasiwasi nalo kabisa

More to Come..................This is Chelsea...... Raha tupu kila weekend......Rudi nyumbani kumenoga....
Hajui kama kumenoga sana kiasi cha mpira wote unamwagika tu
 
Back
Top Bottom