Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
0_1 Willian
Atahusika kwenye sab. Nahisi na Fab lazima acheze leo
Hhahahahaha naona kamati ya roho mbaya unachungulia hapa kama utaambulia chochoteMickey Mouse Cup
Pumbavu kabisa hii Mijamaa inashindwa kutoa over 1.5Chelsea fungeni la pilu mkeka wangu utick acheni ushamba
Hata benchi hawakuwepo hao madogo.Atahusika kwenye sab. Nahisi na Fab lazima acheze leo
Basi tuwasubiri mechi za FAHata benchi hawakuwepo hao madogo.
Huyu morata hii mechi ilitakiwa kukaza sasa daaa
Mara ya mwisho kuchukua kombe ni lini.?![]()
Sina hakika Kama this season utaambilia kitu. May ipo karibuMickey Mouse Cup
Sina hakika Kama this season utaambilia kitu. May ipo karibu
Sasa usiwe unadharau wenzako wanaochukua makombe the so called Micky Mouse cups.Hata Sikumbuki


