Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Then Kwanini Satas Zisioneshe Kina Kante, Kovacic, Hazard na Willian Ndiyo Wenye Passes Nyingi Kwasababu Wao Ndiyo Midfielders Wachezeshaji na Midfielders Washambuliaji?
Kwahiyo Mabeki Ndiyo Wanaocheza Mpira Kuwachezesha Mafowards Huku Midfielders Zenu Kina Kante, Hazard, Kova na Willian Wakiwa Wamerelax tu?
Hazard alianzia benchi mechi ya kwanza na ya pili, Kovacic pia ameanza mechi 1 kati ya hizo. Willian ameanza mechi 2 huku nyingine akianzia benchi.

Pia katika mechi ambazo Kovacic na Willian wameanza hawakicheza dk hata 70. Wamekuwa wakitolewa uwanjani ili kuwapa Pedro na Barkley nafasi za kucheza.

Pia sababu nyingine ni kwamba Hazard, Kovacic na Willian ni aina ya wachezaji ambao wanakaa sana na mpira(They are not immediate passers). Muda mwingi wapata mpira wanataka wakimbie nao, wadribble past the opponent players nk.

Kante kwa sasa hawezi kuwa na pass nyingi ukiweka maanani kwamba anacheza mbele ya midfielders wawili. Na hii ni nafasi mpya kwake kwa hiyo anahitaji muda kidogo kuadapt na mara nyingi mipira inayotoka kwa Jogihno na Covacic, Barkley yanaelekea upande wa kushoto zaidi kuliko kulia ambapo Kante anacheza.

Chelsea unautajiri mkubwa pale mbele pembeni na katikati(midfield). Hazard, Pedro, Willian, Odoi na hata Moses, Barkley, Kante, Joginho, Kovacic, Loftus cheek). Tofauti na nyuma ambapo kwa msimu huu mabeki hawajabadilika.
 
Yote haya anayajua...anakupotezea muda tu.
 
Am sure you know the truth. Mara nyingi kama hujawahi kuangalia mechi ukaona beki ana passes nyingi, unakuwa sahihi ukija na assumption hiyo.

Ila kama umewahi kuangalia mechi zetu hizi nne utajua kuwa hilo si kweli kwa sababu kuu mbili.

1. Mara nyingi mpira unaoanzia kwa kipa huwa haupigi mbele. Huwa anawaanzishia Rudiger au Luiz.

2. Mechi hizi nne tumedominate mpira kwa zaidi ya 70%. Muda mwingi rudiger na Luiz wanakuwa katikati kabisa ya uwanja na wakati huo wanakuwa part of the attacking squad.

By the way, si lazima uponde kila kitu mkuu. Tukiwa tunahamisha mashambulizi from left to right, or one side to the other, or nyuma kwenda mbele, mara nyingi lazima mpira upitie kwa Jorginho. Sasa kwa nini uumie akiwa na passes nyingi. Hiyo nafasi msimu uliopita alikuwa Fabregas.
Pale unampogia mbuzi Gitaa ili acheze,
 
Hazard Ni Mchezaji Mwenye Nidhamu Na Ndiyoma Hakuforce Move! Kwahiyo Kastay Calm Anasubiri Next Season Aondoke Bure Kimya Kimya Kwa Kusaini Pre-Contract Na timu aliyoitarget.
Ni Same Kwa Sadio Mane Yeye Ni Tofauti Na Coutinho! Mane Hajaforce Move lakini Hasajili Mkataba Mpya Bali Anasubiri Abakishe Mwaka Mmoja Asaini Pre-Contract Aondoke Kimya Kimya.
Hazard haondoki. Abramovich ni mtu smart sana
 
Am sure you know the truth. Mara nyingi kama hujawahi kuangalia mechi ukaona beki ana passes nyingi, unakuwa sahihi ukija na assumption hiyo.

Ila kama umewahi kuangalia mechi zetu hizi nne utajua kuwa hilo si kweli kwa sababu kuu mbili.

1. Mara nyingi mpira unaoanzia kwa kipa huwa haupigi mbele. Huwa anawaanzishia Rudiger au Luiz.

2. Mechi hizi nne tumedominate mpira kwa zaidi ya 70%. Muda mwingi rudiger na Luiz wanakuwa katikati kabisa ya uwanja na wakati huo wanakuwa part of the attacking squad.

By the way, si lazima uponde kila kitu mkuu. Tukiwa tunahamisha mashambulizi from left to right, or one side to the other, or nyuma kwenda mbele, mara nyingi lazima mpira upitie kwa Jorginho. Sasa kwa nini uumie akiwa na passes nyingi. Hiyo nafasi msimu uliopita alikuwa Fabregas.
Hater atachukia hadi vitu vizuri vya mpinzani as long as is just a hater. You don't need to explain that much.
 
1) Willian - Brazil
2) Hazard - Belgium
3) Joginho - Italy
4) Kante - France
5) Rudiger - Germany
6) Giroud - France

Hao 6 Ndiyo Wachezaji Wa Chelsea Wanaocheza Panga Pangua Timu Zinazotambulika.

Lakini Unajisifia Wachezaji Wanaocheza Timu Za Serbia, Slovenia?

Hata FXI yote ya Liverpool inacheza Timu Ya Taifa isipokuwa Milner aliyekwisha Sataafu! Lakini Je Timu Kama Egypt (Mo Salah), Senegal (Mane), Guinea (Keita), Scotland (Robertson) Ni Za Kujisifia?

Angalau Alisson (Brz), Firmino (Braz), Fabinho (Braz), Lovren (Croatia), Mignolet (Belgium), Gini (Netherland), VVD (Netherland), Gomez (Eng), Henderson (England), Lallana (England) Na TAA (Eng) inaweza Kuleta Maana.
Zapacosta - Italy
Emerson - Italy
Alosnso -Spain
Morata - Spain
 
Mkuu hayo ambayo siyo ya "kujisifia" si ndo mataifa yao? Au unataka wacheze mataifa gani? Unataka Mane açheze taifa gani wakati taifa lake ni Senegal? Keita, Salah... au na wao wabadilishe uraia kama akina Matuid, Umtiti, Zonzi.. ili wacheze mataifa ya "kujisifia!"

Mimi nimeandika kuongezeka kwa numbers ya wachezaji kwa timu za taifa, Izo za "kujisifia" ni assumption zako tu.

Timu za taifa sio club mkuu.
 
Timu hii sio mbaya.
Cha msingi focus iwe UCL na EPL crowns na sio sijui FA au Carabao ambayo ndio makombe ya mbuzi ambayo yalimponza Wenger na Arsenal.
Carabao na FA ni makombe ya kuwaachia the likes of Huddlesfield Town, Wolves na Exeter
Hapana unakosea kusema ivo timu huwa inabeba kombe kwa ajili ya heshima na kupata pesa, vikombe kama Carabao na FA CUP huwa vinaongeza pato la timu kwa namna fulani
 
Kuna watu mpaka najiuliza kama kuna thamani yoyote kubishana nao kwa kweli.

Wanataka kumlinganisha Azpilicueta na Trent

Halafu mtu huyo huyo hataki kumlinganisha Keppa na Allison.
cesar_azpilicueta.jpg
trent-alexander-arnold.jpg
 
Kuna watu mpaka najiuliza kama kuna thamani yoyote kubishana nao kwa kweli.

Wanataka kumlinganisha Azpilicueta na Trent

Halafu mtu huyo huyo hataki kumlinganisha Keppa na Allison. View attachment 862708View attachment 862709

Shida imeanzia Kwako Kwanini ulikubali Kuingia Kwenye Mjadala Kama Huo?
Mimi Nilionaga Hile Post na Nikaipita Kama sijaiona Kwasababu Nilijua Kuwa Ni Nonsense haiingii akilini Kumchukua Azip ukamlinganisha Na Trent anayejifunza Mpira Sasa! Lakini Wewe kila Kitu unataka Ujadili tu!
Mkuu mengine puuzia si kila post utake uiquote.
 
Huu Ni Uzi Wa Chelsea! Kwahiyo lazima Niuheshemu! Siwezi Kueka Habari za Liverpool Hapa Bali Nitaweka Habari Zinazohusiana na Chelsea tu pamoja na Matani Madogomadogo.

Habari Za Liverpool Nitaziweka Katika Uzi Wa Liverpool na Si Hapa.
Professional answered
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom