eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Wazee wa mipass league kuu England
CHELSEA
74 CESAR AZPILICUETA
After making the transition from fullback to center back a couple seasons ago, the Spaniard has thrived by playing the position to his strengths. Azpilicueta has a whopping 87 Defending rating, which illustrates his excellence at the most important part of his position. While he’s not as tall as some of the giant center backs out there, his strengths (intelligence, quick feet) more than compensate as he has cemented a spot in one of the best defences in the English Premier League.
View attachment 860197
Nyinyi Endeleeni Kujitengenezea Useless Stats lakini Stats Za Kweli tunaziona Uwanjani.
Wazee wa mipass league kuu England View attachment 860199
I just copied from the latest FIFA rankings, 2019.
Nimeona Firmino huko namba 65. Hongera zake.
NB: Wametoa mpaka 61 (yaani 100 - 61). Huko nimeona Liverpool wengi. Bado wanaendelea.
By the way, hata wao wanaangalia delivery yao uwanjani kwa ajili ya ranking. Nikutakie weekend njema mkuu.
Mechi mbili za huu mwezi zitaamua mbabe. Uzuri kwa jumla tutakuwa na mechi tatu msimu huu. Best of 3, what do you say???!
Unajua Maana Ya Hizi Stats Mabeki Wenu Wengi Kujitokeza?
Ni Kwamba Munacheza Zaidi Katika Half Yenu Na Miback Passes Kuliko Kwenye Half ya Wapinzani Wenu.
Kitakachokutokea kipo Wazi Kabisa Maybe unaweza Ukaambulia Sare moja ya Hapo Darajani.
Na hicho ndicho ninachompendea huyu mnyama Hazard. Hana makuu, anajiheshimu, ana nidhamu, Hana tamaa pia najua nafanya Nini uwanjani na kwa mashabiki wake...nitampenda daima.Hazard mkataba wake unaisha June 2020, by then atakuwa almost 30years na atakuwa ameshaitumikia Chelsea misimu 8 ,hata akiamua kuondoka nafikiri itakuwa fair move kwa both sides na ataendelea kuheshimika japokuwa naona Hazard hana mawenge sana na swala la kuhama hama timu angelikuwa mchezaji mwingine angeshaondoka muda mrefu
Asante mentor nilitaka kumjibuAm sure you know the truth. Mara nyingi kama hujawahi kuangalia mechi ukaona beki ana passes nyingi, unakuwa sahihi ukija na assumption hiyo.
Ila kama umewahi kuangalia mechi zetu hizi nne utajua kuwa hilo si kweli kwa sababu kuu mbili.
1. Mara nyingi mpira unaoanzia kwa kipa huwa haupigi mbele. Huwa anawaanzishia Rudiger au Luiz.
2. Mechi hizi nne tumedominate mpira kwa zaidi ya 70%. Muda mwingi rudiger na Luiz wanakuwa katikati kabisa ya uwanja na wakati huo wanakuwa part of the attacking squad.
By the way, si lazima uponde kila kitu mkuu. Tukiwa tunahamisha mashambulizi from left to right, or one side to the other, or nyuma kwenda mbele, mara nyingi lazima mpira upitie kwa Jorginho. Sasa kwa nini uumie akiwa na passes nyingi. Hiyo nafasi msimu uliopita alikuwa Fabregas.
Kufuzu Uefa sio jambo gumu nitafurahi nikimuona hazard anasain mkataba mpya
E&K
Sarri anaongeza numbers kwenye timu za taifa. Mpaka msimu huu huishe hadi Chelsea B wataitwa pia.International match View attachment 859340
Tukishacheza na Liverpool ndo utatakiwa useme hivi. Sarriball itawaumiza sana.Unajua Maana Ya Hizi Stats Mabeki Wenu Wengi Kujitokeza?
Ni Kwamba Munacheza Zaidi Katika Half Yenu Na Miback Passes Kuliko Kwenye Half ya Wapinzani Wenu.
Sarri anaongeza numbers kwenye timu za taifa. Mpaka msimu huu huishe hadi Chelsea B wataitwa pia.
Umemuona lini kovacic akisugugua bench au unajifurahisha tu1) Willian - Brazil
2) Hazard - Belgium
3) Joginho - Italy
4) Kante - France
5) Rudiger - Germany
6) Giroud - France
Hao 6 Ndiyo Wachezaji Wa Chelsea Wanaocheza Panga Pangua Timu Zinazotambulika.
Lakini Unajisifia Wachezaji Wanaocheza Timu Za Serbia, Slovenia?
Hata FXI yote ya Liverpool inacheza Timu Ya Taifa isipokuwa Milner aliyekwisha Sataafu! Lakini Je Timu Kama Egypt (Mo Salah), Senegal (Mane), Guinea (Keita), Scotland (Robertson) Ni Za Kujisifia?
Angalau Alisson (Brz), Firmino (Braz), Fabinho (Braz), Lovren (Croatia), Mignolet (Belgium), Gini (Netherland), VVD (Netherland), Gomez (Eng), Henderson (England), Lallana (England) Na TAA (Eng) inaweza Kuleta Maana.
Umemuona lini kovacic akisugugua bench au unajifurahisha tu
Sasa hivi umekuja na this excuse.1) Willian - Brazil
2) Hazard - Belgium
3) Joginho - Italy
4) Kante - France
5) Rudiger - Germany
6) Giroud - France
Hao 6 Ndiyo Wachezaji Wa Chelsea Wanaocheza Panga Pangua Timu Zinazotambulika.
Lakini Unajisifia Wachezaji Wanaocheza Timu Za Serbia, Slovenia?
Hata FXI yote ya Liverpool inacheza Timu Ya Taifa isipokuwa Milner aliyekwisha Sataafu! Lakini Je Timu Kama Egypt (Mo Salah), Senegal (Mane), Guinea (Keita), Scotland (Robertson) Ni Za Kujisifia?
Angalau Alisson (Brz), Firmino (Braz), Fabinho (Braz), Lovren (Croatia), Mignolet (Belgium), Gini (Netherland), VVD (Netherland), Gomez (Eng), Henderson (England), Lallana (England) Na TAA (Eng) inaweza Kuleta Maana.
Kuna kitu hujaelewa, na naamini kwa maandishi haya hujapata kutazama hata mechi moja msimu huu. Kila wakati Ludiger na Luiz wanacheza kwenye half ya timu pinzani.Unajua Maana Ya Hizi Stats Mabeki Wenu Wengi Kujitokeza?
Ni Kwamba Munacheza Zaidi Katika Half Yenu Na Miback Passes Kuliko Kwenye Half ya Wapinzani Wenu.
Back passes lakn kwenye nusu ya timu pinzani ili kuwavuta waje, naamini kama uliangalia mechi ya Huddersfield, Newcastle na Bournemouth uliliona hiliUnajua Maana Ya Hizi Stats Mabeki Wenu Wengi Kujitokeza?
Ni Kwamba Munacheza Zaidi Katika Half Yenu Na Miback Passes Kuliko Kwenye Half ya Wapinzani Wenu.
Kuna kitu hujaelewa, na naamini kwa maandishi haya hujapata kutazama hata mechi moja msimu huu. Kila wakati Ludiger na Luiz wanacheza kwenye half ya timu pinzani.