Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida imeanzia Kwako Kwanini ulikubali Kuingia Kwenye Mjadala Kama Huo?
Mimi Nilionaga Hile Post na Nikaipita Kama sijaiona Kwasababu Nilijua Kuwa Ni Nonsense haiingii akilini Kumchukua Azip ukamlinganisha Na Trent anayejifunza Mpira Sasa! Lakini Wewe kila Kitu unataka Ujadili tu!
Mkuu mengine puuzia si kila post utake uiquote.

Noted.

Ila mkuu hujanijibu BEST OF THREE?
 
Noted.

Ila mkuu hujanijibu BEST OF THREE?

Kuna Mambo Mengine Huwa Sipendi Kuyadiscuss Kwani Yanakwenda na Imani Ya Mtu.

Mfano Mdogo Kuna Mashabiki Wa Chelsea Wanaomsupport David Luiz Kuwa Acheze, Na Kuna Wanaomkataa Kwamba Si Wakuanza Kwenye Kikosi Cha Kwanza.

Sasa Huwezi Kuwabadilisha Wanaomuunga David Luiz Kuwa Waamini Hafai.

Na wala Huwezi Kuwabadilisha Wasiomuunga Mkono Kuwa Wamuunge.

So, Ni Sawa Na Swali Lako, Unaniuliza huku ukiwa Unajibu lako Mkobani Na Imani Yako Juu Ya Unachokiamini Kwa Best Of Three.

Endelea Kuamini unavyoamini, Na Mimi Naendelea Kuamini Ninavyoamini.
 
No bro,
What I meant was...msimu huu we have three games against each other.

Why don't we settle on who is better based on those three games...BEST OF THREE!??
 
Who is better?
Aliyebora sitompima kwa mechi 3 tutakazokutana. ...
The best one acha tumuone at the end of the season amegain kitu gani...
 
CHELSEA

16 N'GOLO KANTÉ

Despite his humble exterior, the compact Frenchman is the quiet essential midfield cog for every team he plays for. Kanté is a complete midfielder in every sense, just as proficient at tackling and marking (87 Defending) as he is at bossing opponents around (84 Physical) and bringing the ball forward to initiate attacks (81 Dribbling).

FIFA19-tile-large-16-Kante-lg.jpg
 
Cardiff City manager, Neil Warnock: "If you shut shop at Stamford Bridge you're going to get picked off and lose by two or three anyway, so you may as well have a go, you just have to hope you don't leave yourself wide open to a pasting. We are looking forward to the test" #CFC
 
Kama kuna kitu nimekinotice kwa huyu jamaa ni kuwa wahezi kujibu maswali, hapa atarudi tena na maelezo mareefu ila hatajibu kitu

• You are right! Hiyo ndiyo Sifa Yangu Huwa Sijibu Maswali Ambayo Muulizaji Wake Anauliza Huku Akiwa Tayari Ameshakuwa Na Majibu Yake Mkobani.

• Mimi Mtu Hawezi Kuniuliza Mchezaji Fulani Na Fulani Bora Nani Wakati Yeye Kichwani Mwake Ameshakuwa Na Jibu la Kujichagulia Bora Yule Anayemtaka Yeye. Sijibu Swali Kama hili.

• Wala Mtu Hawezi Kuniuliza Kuhusu Combined First IX wakati Tayari ana First XI Yake ambayo Hata Umuekee Mchezaji wakati Hatoki Katika Timu Yake Basi Atakwambia Hafai. Siwezi Kujibu Swali Kama Hili.

So, Bro Kujiona Una Uwezo Wa Kujibu Kila Unachoulizwa Mostly Bloody nonsense questions haimaanishia Kuwa Wewe Ni Mjanja au Talented Bali Ni Upumbavu Na Ujinga.
Mwerevu Hujibu Vitu Vichache Vinavyomake sense.

Have a good Luck.
 
Povu tena la nini?
 
Eden Hazard for Chelsea and Belgium 2018/19 season:

4 Starts.
4 Goals.
3 Assists.
4 Man of the Matches.

I beg you start respecting the boss, you are not ready
 
The Italian has made the most impressive start of the seven new managers in the top flight while doubts already dog Manuel Pellegrini and Neil Warnock

Manuel Pellegrini is under pressure at West Ham, Unai Emery looks a good fit for Arsenal while Maurizio Sarri has helped Chelsea click. Composite: Getty Images; Arsenal FC via Getty Images; Fantasista/Getty Images
There are no fewer than seven new managers in the Premier League this season, four of them completely new – Maurizio Sarri, Unai Emery, Nuno Espírito Santo and Slavisa Jokanovic – and three others with previous experience but in new club situations. As the domestic programme returns with two from the latter group meeting at Goodison Park, it is already evident that at least one of the fresh faces – if Manuel Pellegrini has ever been thus described – is under pressure.

Before we move into the nitty-gritty of the season, with everyone still in the period of grace that precedes the sack race, here is a quick résumé of how the new intake have fared in the first month.

Sarri at Chelsea is the obvious standout performer, with maximum points after four games. That is the sort of flying start Chelsea used to make when they had title-winning pretensions under José Mourinho, and it reflects a lot of credit on a coach who has never worked outside Italy before and who enjoys only a limited command of English.

Credit is also due to the Chelsea board, who knew they had little room for error when replacing the troublesome yet still popular and successful Antonio Conte, but seem to have done their homework well.

Granted, Chelsea have the sort of quality in their squad that should please most managers and make a good start to the season a minimum requirement, yet so do Manchester United and Manchester City, and in neither case was their opening month without blemish. No one can say Chelsea have not yet played anyone either: they beat Arsenal in Sarri’s second match in charge and then went up to Newcastle to prevail against the fortified lines of a Rafa Benítez defence.

Chelsea are already playing in a noticeably different style under Sarri – a quick, short-passing game that will only become slicker as the season progresses, and for the moment at least a sometimes difficult squad appears happy and harmonious. Full marks to all concerned for now; for a more precise indicator of progress, keep an eye open for the two meetings with Liverpool at the end of the month, first in the Carabao Cup at Anfield, then in the league at Stamford Bridge.

At the other and of the scale, quite literally, we find Pellegrini and his pointless, some have even said gutless, West Ham side. Bottom of the table was not what was expected when the Irons spent £100m in the summer and brought Pellegrini back from China on a three-year deal, and while the wisdom of that appointment can be debated elsewhere – the Chilean turns 65 on Sunday – what is not in question is that West Ham need points on the board as quickly as possible and must produce a fighting performance to satisfy their critics.

It is reasonable to point out that the fixture list has not been especially kind to Pellegrini and his players. They were at Liverpool and Arsenal on their first two away trips, though on the other hand being beaten at home by both Bournemouth and Wolves suggests a deeper malaise. The new manager needs to sort that out pretty quickly, for Chelsea and Manchester United come hard on the heels of Everton and boardroom votes of confidence will count for little if West Ham cannot at least show themselves capable of climbing the table.

Pellegrini is in a more difficult situation than he perhaps realised, with players still getting to know each other and fans remaining unhappy about the loss of identity involved with the change of stadium, though at present he is accused of not knowing his best team.

Fulham players celebrate against Burnley, during a performance that brought encouragement for Slavisa Jokanovic. Photograph: I
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom