Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

unbeaten? big bloody deal!

notingham forest did it, the gooners did it, etc ....so there's nothing new for the "manure" to brag about.

afterall there's a whole season ahead still and you have chelsea home & away, liverpool away, arsenal away.

come on manure!!
how do you like your grapes? its a big deal when everybody and their mama want you to lose and not firing all the cylinders. Ndio akina nyie nyie mliowapa chelse ubingwa by october na kuwarule united out of the title race.
 
Imekujaje hapa?, tena leo?, Bad/poor timing pal. Au unaanza JF Mind game zako ktk safar ya kuelekea wazee wazima akina sie kubeba ndoo May?,
Bad Looser...!:laugh::laugh::laugh:



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee wakati ukuta.

Ndugu yangu Wacha ,tatizo la France lilikuwa ni hiyo FA yao sijui kwa nini walimuongezea mkataba Raymond Domenich ambaye alisababisha mgawanyiko mkubwa kwenye timu pamoja na kuwaacha wachezaji kama Mexes,Frey,Benzema,Nasri.Simlaumu Blanc kwa kumuacha Evra sababu ameambiwa na Waziri wa Michezo jamaa asirudi lakini ukweli Evra ni beki bora wa kushoto hapa duniani


Hii dunia ya Belo tumeizoea. khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

 
Hiyo ndio tofauti ya Chelsea na Manu wewe unawaza kuondoa bikra mimi nawaza kupata ubingwa wa 19

Lolz!
Kutolewa bikra Peasant anadhani ndio mwisho wa maisha. Ndo nakumbuka siku Makelele alimjbu SAF hvyo; Hata mkitufunga (Chelsea ya Mourhno kipindi hicho), no one we remember that as long as long Chelsea will on the league. Copy and paste that assertion.
 
Yaan bao mbili zte set pieces kufungwa ni uzembe....wasubiri come back.
 
Magori mawili ya uzembe kabisa....hivi kwa nini ferguson anampenda Evans???maana sioni kama ni mzuri kuliko smalling.......Anyway tusubiri tuone kwa 90 mins lakini naona uwezo ni mdogo sana kuwafunga goli 2......
 
No leo ni ngumu sana tena sana maana hawa jamaa wanacheza ngumu na hawawapi chance united kukaa na mpira so bado ngumu kwa united kucheza mpira......
 
Hapa leo pagumu...awa jamaa zangu wanacheza mpira wa ajabu ajabu tu!
 
Hahahaha! leo tuneingia choo cha kike. Hadi Xuls anadank na mkono kama Basket?
 
Naona Ref anapeta pen. hand ball pale. aya, kwel leo siku ya kufa nyani.
 
Tumetoa draw 4-4 dhidi ya N'castle...poor refereeing imetucost...Ila hii ya scholes kutaka kufungia mikono ni kali zaidi.....Au ndo Ushindi Lazima????
 
Tumetoa draw 4-4 dhidi ya N'castle...poor refereeing imetucost...Ila hii ya scholes kutaka kufungia mikono ni kali zaidi.....Au ndo Ushindi Lazima????

Mazee stop crying like a little girl on her first day ......! Mpira tu huo wala si refarii
 

"Man U... Red Devils Hatushikiki"

feeling-invincible-funny-demotivational-poster-1280640924.jpg


...poleni sana wakuu!
 
Aya waungwana tunekubali kichapo, kweli soka is an unpredictable game. Naona kesho England watafanya sherehe manure kufungwa. Alamsiki.
 
Back
Top Bottom