kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Chelsea imeanzishwa mwaka 2004 sasa utailinganisha na timu kongwe kama Man UKwa hiyo unakubali kuwa Chelsea ni club ndogo sana kulinganisha na ManU
Chelsea imeanzishwa mwaka 2004 sasa utailinganisha na timu kongwe kama Man UKwa hiyo unakubali kuwa Chelsea ni club ndogo sana kulinganisha na ManU
Acha kutia aibuChelsea imeanzishwa mwaka 2004 sasa utailinganisha na timu kongwe kama Man U
Habari nzuri kwa arsenal kama madrid watamchuku kabla ya jumamosi. Kufa kufaana
Kipigo cha Madrid leo ni habari mbaya sana kwenu Chelsea.
Watakuja kumchukua nyota wenu kwa gharama yoyote.
Si u Google mwenyewe uone, Ila ninachojua Chelsea imeanzishwa mwaka 2004 #sarcasmAcha kutia aibu
Chelsea imeanzishwa lini eti?
Mimi nimekifurahia sana...nilitamani wangemwonesha Courtois.
Kipigo cha Madrid leo ni habari mbaya sana kwenu Chelsea.
Watakuja kumchukua nyota wenu kwa gharama yoyote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Hazard Hana tamaa hizo. Yupo Sana ChelseaHabari nzuri kwa arsenal kama madrid watamchuku kabla ya jumamosi. Kufa kufaana
Mkuu kalou umekunywa kiroba niniSi u Google mwenyewe uone, Ila ninachojua Chelsea imeanzishwa mwaka 2004 #sarcasm
Mimi nimekifurahia sana...nilitamani wangemwonesha Courtois.
Kabla ya hapo tulikuwa hatuna vikombe?Mkuu kalou umekunywa kiroba nini
Nachojua ni mwaka tulioanza kukusanya vikombe
Vichache sana mfano league tulitwaa miaka 50 iliyopita hukoKabla ya hapo tulikuwa hatuna vikombe?
Nani kakudanganya? Majuzi Hazard kaingia team inaongoza sio nyie na Salafina
Hujui unachoongeaChelsea imeanzishwa mwaka 2004 sasa utailinganisha na timu kongwe kama Man U
Kichwani hamna kituSi u Google mwenyewe uone, Ila ninachojua Chelsea imeanzishwa mwaka 2004 #sarcasm
Karibu jukwaaniHujui unachoongea
#sarcasm .. asiyejua maana haambiwi maanaKichwani hamna kitu