Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
NAINUA MIKONO JUU NIME-LOSE BET
Aibu yako hata wewe.? BwahaaaHalf-Time only ONE shot ON target SarriBall bhana inamake sense Kweli 😀 😀 😀
We ulikua humfuatilii toka alipokua Madrid. Eti siyo mchezaji mashabiki wa looserfool bhana. Sasa alijua anafanya nn miaka yote kama mchezaji.? Uwe unatuliza akili kabla hujamjibu mtu otherwise usijibu kwa mihemko.Inamana Tulipowaambia Kovacic si mchezaji ndiyomana Real Wakawapa Nyinyi mulikuwa Munasubiri yawakute ndiyo muamini?
Halafu unaposema Kutengeneza nafasi zaidi unamaanisha unatazama hii Mechi PlayStation au?
Sio Mutengeneze nafasi zaidi! Bali Muanze Kutengeneza Nafasi Kwani Kwa Shot moja On Target Haimaanishi Kuwa Mumetengeneza Nafasi. Angalau Mungelikuwa na 5 on Target Hapo ingeleta maana.
Naomba matokeo weweStats ndio zilezile Mkuu poor stats ONE SHOT ON TARGET
AlonsooooooMmeshaanza kujitambua, almanusura.
Kwa matobo mnayoyatengeneza msiwalilie Liverpool kabisa.
Hongereni kwa ushindi lakini.
Dakika ya 60,pass 607
hii team siku hizi inanishangaza sijui inakuwajeElewa ule uwanja mgumu. Historia inatuhumu wewe.Hapo Hapana Cha Aibu Mkuu! Kilichobadilisha Story Ni Kuwa Mumeshinda tu!
Lakini Mpira Uliopiga Passes 913 halafu Ukawa na Shots On Target 3 tu Kwa dakika 90 + 5 basi Kuna tatizo Kwenye Mfumo.
Mkuu huu mpira wa Sarri kwa ligi ya England asipobadilika atapata tabu sana kushinda.Tuliwaambia Mapema Haya Kuwa SarriBall Ni pasi na kwenda Mbele tu Bila Ya Ushindi! Sasahivi Mushaanza Kutuelewa.
Alonsoooooo![]()
![]()
Alonso anatuokoa sana, hii ndio maana ya timu sio kumtegemea Foward mmoja tu kama Salah tu![]()
Dah hila Nu casto kwenye uwanja wao hatujafua dafu kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwakua ulitaka tufungwe ndio maana unaandika hiki kitu. Hujaandika kama mtu anayejua kuchambua mpira. Nakushauri rudi kaangalie penalty ilivyokua Numbisa kakuwekea.Naona Refa Kaamua Kuwatoa Kimasomaso