Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

So far so good japp naona Kovacic kama vile mpira bado haujamkaa vizuri. Beki inahitaji utulivu. Tunahitaji kutengeneza nafasi zaidi kipindi cha pili

Sent using Jamii Forums mobile app

Inamana Tulipowaambia Kovacic si mchezaji ndiyomana Real Wakawapa Nyinyi mulikuwa Munasubiri yawakute ndiyo muamini?

Halafu unaposema Kutengeneza nafasi zaidi unamaanisha unatazama hii Mechi PlayStation au?

Sio Mutengeneze nafasi zaidi! Bali Muanze Kutengeneza Nafasi Kwani Kwa Shot moja On Target Haimaanishi Kuwa Mumetengeneza Nafasi. Angalau Mungelikuwa na 5 on Target Hapo ingeleta maana.
 
Kwa stats hizi ni kama Newcastle hawachezi
Possession 79℅
Passing 444/105 ya NCU
Paassing acuracy 93℅
Willian anatakiwa kumreplace Pedro au Morata
Na Kovacic out Barkley in

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio Kwamba Newcastle hawachezi! Huo ndiyo Mpira Wa Sarri tokea Yupo Napoli pasi nyingi mwisho Wa Siku analiwa Yeye.
😀 😀 😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom