Mugerick
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 499
- 531
Hahaha Liverpool mpka sasa lina miaka mingap halijafika?Lina Miaka 10 mbele Kombe la EPL kurudi London
Man city anaweza akafanya vizuri lakini suala la kunyanyua kwapa bado ni mapema sana.Yani sio Msimu huu tu! Hata msimu ujao Man City bado Yupo Katika Nafasi Ya Kutuburuza! Kwasasa Mpira Ni Pesa na Man City Pesa anatumia Kwa Usajili.
Sasa Labda Nikuulize! Unadhani Ni Timu gani msimuu inaweza Kusimama na Man City Kumzuia? Chelsea? Spurs? Manure? Liverpool? Au Nani?
Na Mourinho pia, tena Ferguson alishawahi chukua mara tatu mfululizoSasa uyo man city msimu huu atapata tabu sana kubeba kombe Mara mbili uingereza alifanya babu farge tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya uchezaji ndo inamfanya awe na pass nyingi Japo bado yuko nyuma ya Stones wa Man CityHata kama ana passi nyingi, hii sio kigezo. Pass ni position yake tu inashurutisha urudishiwe mipira mara kwa mara
Kigezo cha ubora wa beki ni kutoruhusu mashambulizi ya hovyo. Anyway kocha anaona na anajua zaidi yetu. Na hatua atakayoichukua ya kumuacha au kumshindanisha na Andreas ni yake
Na Mourinho pia, tena Ferguson alishawahi chukua mara tatu mfululizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisiana unampa nafasi Man cityThe title is for City to lose.
Sijaona timu ya kuizuia City msimu huu.
Kama ipo itaje tu
Chelsea tuko vizurNaona msimu huu chalsea na liverpool wameukamia