Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani ushindi wa leo ni muhimu sana ..inatakiwa tushinde ili kujiweka katika nafasi muhimu zaidi ya kuwania ubingwa.
 
Pedro
1534610651442.gif
 
Tunatarajia kupeleka msiba kwa jirani zetu ..muda ci murefu kutakuwa na kilio kule
 
Rudiger na Luiz naona hawaelewani kabisa wanaacha watu nyuma kila mara. Krosi za chini zote wanashindwa kuzifanyia kazi zinafika kabisa kwa mlengwa aisee
 
Dakika ya 56:

Shots on Target: Chelsea 4 - 5 Arsenal

Shots off Target: Chelsea 5 - 5 Arsenal

Possession: Chelsea 49 - 51 Arsenal

Corner Kick: Chelsea 1 - 0 Arsenal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom