OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hii ni rekodi mbaya sana kwao.
Hii ni rekodi mbaya sana kwao.
Huwa tunabishana in good terms,,nyie huwa mnakubaliana kila kitu kwenye timu yenu??Sasa kule nakujaga kuwachangamsha maana Mara nyngi huwa mnagombana wenywe kwa wenyewe.
Kwanini upate tabu wakati unalipenda jukwaa pendwa la Chelsea? Karib tu mkuu unakaribishwa.
Bakayoko yuko fiti hata akija hapo hakosi namba fest XI, ila presha ya timu na mashabiki ndo iliyomvuruga.Huwa tunabishana in good terms,,nyie huwa mnakubaliana kila kitu kwenye timu yenu??
By the way bakayoko nini kimemkuta??
Namba bakayoko aipatie wapi..kuna herrera matic,pogba,fred,perreira,mctominay,fellaini..na hakuna hata mmoja hapo bakayoko anayemsogeleaBakayoko yuko fiti hata akija hapo hakosi namba fest XI, ila presha ya timu na mashabiki ndo iliyomvuruga.
enewei kwa sasa ngoja akakuze kiwango na confidensi ya kutosha apo AC Milan ili akirudi darajani nadhani atakuwa ni zaid ya Kante Ngolo.
Wote ulotaja apo labda Matic na Pogba ndo wanaeza kuwa juu ya Bakayoko ..lakin uyo Fred, fellain, Herrera kwa bakayoko wanakaa ..Tatizo la Bakayoko ni presha ya timu lakini kocha kama mourihno ndo anaweza kuwajenga kozi anapenda viungo vya aina hiyo.Namba bakayoko aipatie wapi..kuna herrera matic,pogba,fred,perreira,mctominay,fellaini..na hakuna hata mmoja hapo bakayoko anayemsogelea
Wilian kuanzia bench haiwezekaniKikosi changu against Arsenal leo.
-Kepa
-Azpilicueta
-Christensen
-Rudiger
-Alonso
-Jorginho
-Kante
-Barkley/Loftus
>Hazard(C)
>Giroud
>Pedro
Willian anaanza benchi ili Pedro awahishe ushindi, awakimbize kina Bellerin na Mustafi. Mnakionaje wakuu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi changu against Arsenal leo.
-Kepa
-Azpilicueta
-Christensen
-Rudiger
-Alonso
-Jorginho
-Kante
-Barkley/Loftus
>Hazard(C)
>Giroud
>Pedro
Willian anaanza benchi ili Pedro awahishe ushindi, awakimbize kina Bellerin na Mustafi. Mnakionaje wakuu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo ni maoni yangu. Halafu ni wapi nimesema lazima tutashinda.? Ila kiukweli tunajiamini lazima siyo sababu ya kushinda. Nimemuweka Pedro badala ya Willian kwa sababu anambio anapokuwa na mpira hivyo inaweza kusaidia kuharakisha ushindi lakini sijahalarisha ushindi. Halafu ukisema majina makubwa nakushangaa kwa aababu hao ndio wachezaji wetu labda ulitaka nimuweke Hudson badala ya Hazard.?Leo naona Minajiamini Sana Kuwa Lazima Mutashinda! Naona Mumesahau Kuwa Mpira una Only Magnitude na Hauna Direction ! Kwahiyo upande wowote waweza elekea..
By the way! Hicho Kikosi ukikiangalia Kina Majina Makubwa lakini Bado Hakiko Complete! Ni Kwasababu Kimepangwa tu alimradi watimie 11.
Shida hapo itatokea Mutakapocheza na Timu inayoPack Basi au Yenye Beasts Centre Backs ndiyo Mutajua Kama Hicho Kikosi bado Hakipo sawa.


Chelsea 2
| Pedro on Kepa : "I think he’s very young but with experience as well, He’s played a lot of games in Spain with Athletic Bilbao and also played for the national team."
| Pedro on Kepa : "He’s very clever and very good in the air, he’s fast when trying to save the ball and for this reason he’."
| Pedro on Kepa : "It’s very different [in England], I know that and I’ve spoken with him. For example, from corners it’s very difficult to defend them with the central defenders and strikers but he knows this and he’s seen in training the fast rhythm of the game."
| Pedro on Kepa : "But joining Chelsea is a good choice for him and his career and it will help his grow as a player."
4' Eto'o
7' Schurrle
17' Hazard (Pen)
42' Oscar
66' Oscar
71' SalahNamwelewa sana sarri