Sasa hvi n vtuko kwakweli wote huenda wametekwa na papuchHabari za William kuchelewa mazoezi sio Inshu kwani Harouna Niyonzima hadi leo hayuko mazoezini hajulikani aliko aisee
Unajua ni kwa nn Giroud aliendelea kupewa nafasi ya kucheza first eleven hata kama alikuwa hafungi?Y
aani ni maajabu yule mandevu kubeba world cup awashukuru wakina mbape
Hapo ndo ujue kuna kazi yake maalumu na kwale tunaoangalia mpira kwa jicho la kitaalamu tunajua kazi ya Giroud ilikuwa nini?maana hata. Carabao Huwa hawaonyeshHaa haa haa Alf mjinga alicheza karbia game zote
Na,hakucheza chin ya 80 mnt
Tazama kiganjanjKwa Tanzania mechi ya leo inaonyeshwa decoder ipi?
Game haionyeshwi mkuuSuper sport wanaonyesha Chanel ipi Huku Kwangu siipati ?
Msaada Jamani?
Hahahaha kuna App ya kuchek game bure mm nachek Live hapaWandugu zangu
Naombeni link nione game yenu na Man City hata dakika hizi zilizobaki pls
Isiwe ya kulipia
Tupe na wengineHahahaha kuna App ya kuchek game bure mm nachek Live hapa
Soccer Live Stream, Match Details, TV Schedule | Hazmo.Watch#sorry!...mwenye link ya live stream atusaidie...
Walikuwa na likizo kwa sababu ya world cup. Kante, Batshuay, Cahili nao hawapo kwenye bench.Naomba kuuliza kwa nn hazard na kipa xortour hawapo leo.ni majeruhi au
Angalia mpira mpira huwa hatuusikiiNaskia mmekalia kuti kavu