Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Morata kabadili jezi number kutoka no 09 mpaka 29. Ni baada ya kupata watoto mapacha tarehe 29 July.
D. Drogba alikua anavaa 11,
D. Costa alikua anavaa 19,
Hao wote waliperform vizuri. Muangalie Torres alivaa namba 09, na sasa ni Morata 09
Ngoja tusubiri tuone kama itakua kweli japo haya ni mambo ya kufikirika tu.