Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumpa penalty morata lilikuwa kosa
Kwani Fab alikuwa ameshapigwa sub wakati huo?

Ila kwa vyovyote vile nakubali Morata si wa kumtegemea sana aisee. Dogo Odoi kampigia pasi za kutosha yeye ana miss tu.

Labda Giroud na Batshuayi watatuvusha msimu huu. La sivyo sioni striker wa nje ambaye tunaweza kumpata kwa sasa.
 
Hivi Muko aware Kwa tension mpya ishayoibuka?
Maurizio Sarri ana kikao Kizito na Willian baada ya Willian Kwa Makusudi Kuchelewa Kujiunga Na Kikosi Kuliko Muda Aliopangiwa aripoti Kwani Timu ya Brazil ilitilewa mapema WC na akapewa Deadline ya Kuripoti Bali aliamua Kubana Brazil utafikiria alicheza Fainali.
 
Mambo ya kawaida sana hayo...
 
Mbona sky sport waliripoti kuwa kulikuwa na dosari kwenye viza yake jambo ambalo lilimfanya achelewe na chelsea walikua wanajua
 
Ulikuwe Ni uongo tu hule! Ameshaanza Kushawishika na Real...

Wachezaji Wa Kibrazil Wana Uwezo Lakini ninavyowachukia usipime kwani linapokuja swala la Real au Barca Ndiyo wanamelt kisengesenge.

Hebu Jenga Picha Mastaa hawa Lewandowski, Harry Kane na Griezman Jinsi Wanavyowaniwa na Real & Barca na Wakatulia Kimya, wangelikuwa Wabrazil unadhani tungeliwasikia tena Kwenye timu zao za sasahivi?
 
Olivier Giroud

CHELSEA wapo katika mazungumzo ya nguvu na Marseille kwa ajili ya kumuuza staa wao, Olivier Giroud kwa dau la pauni 20 milioni tu baada ya staa huyo kutokuwepo katika mipango ya kocha mpya, Maurizio Sarri.

Wababe hao wa Stamford Bridge walimnasa staa huyo Mfaransa katika dirisha la Januari akitokea Arsenal walipokuwa chini ya kocha, Antonio Conte lakini sasa wanataka kuachana naye na kutafuta mshambuliaji mpya.
 
Inabidi tupate striker mmoja mzuri, hawa kina Morata na Giroud ni hasara, hawawezi kuisaidia timu.
 
Aise tumezingua sana kumfukuza Antonio Conte.
wachezaji walikuwa wameuchoka mfumo wake na timu nyingine zilimjulia akakosa mawazo mapya.
Ilikuwa lazima aondoke kupandisha morali wa timu na mashabiki kuiamini timu tena.
 
Olivier Giroud

CHELSEA wapo katika mazungumzo ya nguvu na Marseille kwa ajili ya kumuuza staa wao, Olivier Giroud kwa dau la pauni 20 milioni tu baada ya staa huyo kutokuwepo katika mipango ya kocha mpya, Maurizio Sarri.

Wababe hao wa Stamford Bridge walimnasa staa huyo Mfaransa katika dirisha la Januari akitokea Arsenal walipokuwa chini ya kocha, Antonio Conte lakini sasa wanataka kuachana naye na kutafuta mshambuliaji mpya.
Huyu bado hajauzwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom