Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe kibonde wangu tu, mbona unalia sanaWakina Ligazeti wamekupa nini mpaka sasa.? Punguza kelele wewe.
Tutawaona msimu huu na kocha wenu mvuta bangi
Wewe kibonde wangu tu, mbona unalia sanaWakina Ligazeti wamekupa nini mpaka sasa.? Punguza kelele wewe.
Bwahaha... Unatapatapa mfa maji.Wewe kibonde wangu tu, mbona unalia sana
Tutawaona msimu huu na kocha wenu mvuta bangi
Mtapata taabu sana msimu huu,Bwahaha... Unatapatapa mfa maji.
Kwa huu ushindi ulioupata. Nakuhakikishia tayari ushaingia na point tatu. Yan kabla ligi haijaanza we tumekupa point tatu tayari. Hapo vipi.? SatisfiedMatteo Guendouzi vs Chelsea
92 touches
83/89 passes completed (93.25%)
4 dribbles won
6 clearances
7 tackles won
5 duels won
2 aerial duels won
6 interceptions
2 shots
Jojino alikuwa anageuzwa na haka katoto kama chapati
Kwenye lig una point zangu 3 tayar, ilo kumbe unalijuaKwa huu ushindi ulioupata. Nakuhakikishia tayari ushaingia na point tatu. Yan kabla ligi haijaanza we tumekupa point tatu tayari. Hapo vipi.? Satisfied
*Arsenal vs Chelsea*Hivi hioni kama hizi statistics zinakuumbua mwenyewe. Au kwa kuwa umeona posession ni kubwa kwako.*Arsenal vs Chelsea*
Possession *61% - 39%*
Shots on goal *3 - 5*
Saves *4 - 3*
Corner kicks *5 - 6*
Offsides *0 - 6*
Fouls *4 - 9*
Red cards *0 - 0*
*SarriBall*??????
Huon kama umezidiwa hapo? Possession inaonesha Viungo wako walikuwa wazururaji tuHivi hioni kama hizi statistics zinakuumbua mwenyewe. Au kwa kuwa umeona posession ni kubwa kwako.![]()
![]()
Mashabiki wa arsenal bhana.
Kwa hiki ulichoandika nimeshaelewa wewe ni mtu wa aina gani. Napoteza muda wangu kubishana na mtu asoelewa.Huon kama umezidiwa hapo? Possession inaonesha Viungo wako walikuwa wazururaji tu
Sasa unabishana na statistics?Kwa hiki ulichoandika nimeshaelewa wewe ni mtu wa aina gani. Napoteza muda wangu kubishana na mtu asoelewa.
Real ishu sio pesa ila walisema chairperson wa Spurs ni sturbon, hataki hata kukaa mezani kujadili.