Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mattia Grassani, #Napoli’s lawyer: “Today or tomorrow Sarri could sign, it’s close and is about to happen. As for Jorginho, he preferred [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] to [HASHTAG]#MCFC[/HASHTAG] because of the destination and also because Sarri will be there with the Blues, it’s practically all done.” (football-italia)
 
Thanks for everything Antonio. Best of luck wherever your career may go from here.
 
" Conte had received criticism for how he axed Diego Costa and how he undermined his squad by saying he wanted batter players " ..Thank you Conte and best of luck uko uendako
 
Barcelona have tabled a second bid - believed to be worth up to £53m - for Chelsea winger Willian, Sky Sports Newsunderstands.

Last week, SSN broke the news of Barcelona's initial £50m bid for the Brazilian, with talks still ongoing between the two clubs and representatives of the player.

Sky sources understand the La Liga champions first began efforts to lure Willian to the Nou Camp as long as three months ago.
willian-chelsea-premier-league_4252219.jpg
 
Barcelona have tabled a second bid - believed to be worth up to £53m - for Chelsea winger Willian, Sky Sports Newsunderstands.

Last week, SSN broke the news of Barcelona's initial £50m bid for the Brazilian, with talks still ongoing between the two clubs and representatives of the player.

Sky sources understand the La Liga champions first began efforts to lure Willian to the Nou Camp as long as three months ago.View attachment 808123
Pesa ndogo sana hiyo waongeze ifike 80
 
Chelsea mpaka mje mpte kocha awapeleke championship kwanza ndio akil itawakaa sawa, Conte kakaa misimu miwil tu kawapa mataj mawili, mnamtoa mkukumkuku,

Sari anakuja anakutana na kundi la wachezaji ambao walikuwa wanaendana na stail za conte kwenye 3-4-3 na 3-5-2 , sari anakuja kukutana na watu kama Bakayoko,drinkwater, giroud, barkey, huku hazard na willian wanaondoka, maana leo barca wametuma ofa ya pili ya £60m kwa willian,

Sari hana historia yoyote ya kubeba taji, anakuja kufanya majaribio tu hapo chelsea,
 
Huo ni mtazamo wako wakati guadiola anapewa barca alikuwa ametwaa taji gani kama kocha
 
Na yeye ataondoka tu kama walivyoondoka wengine na watakuja wengine.
 
Chelsea mpaka mje mpte kocha awapeleke championship kwanza ndio akil itawakaa sawa, Conte kakaa misimu miwil tu kawapa mataj mawili, mnamtoa mkukumkuku,

Sari anakuja anakutana na kundi la wachezaji ambao walikuwa wanaendana na stail za conte kwenye 3-4-3 na 3-5-2 , sari anakuja kukutana na watu kama Bakayoko,drinkwater, giroud, barkey, huku hazard na willian wanaondoka, maana leo barca wametuma ofa ya pili ya £60m kwa willian,

Sari hana historia yoyote ya kubeba taji, anakuja kufanya majaribio tu hapo chelsea,
Kama Kuna kitu Chelsea wamefanikiwa kuliko timu nyingi ni kutumia makocha wengi na kuendelea kupata vikombe vingi,
 
Huo ni mtazamo wako wakati guadiola anapewa barca alikuwa ametwaa taji gani kama kocha

Guardiola Alikuwa ana watu Kama Messi, Iniesta, Xavi, Henry, Yaya Toure & Busquet Je Hapo Chelsea Kina Bakayoko na Giroud Ndiyo sawa na Wachezaji Aliokuwanao Guardiola?
 
Maurizio Sarri ...?
Ngoja niingie Google nicheki wasifu wake binafsi "CV" .

Sijui ana mataji mangapi tokea awe mkufunzi wa mpira

Sijui aliwahi kumfunga Conte aliyeondoka nafasi anayokalia mara ngapi?

Sijui mchezaji gani mkubwa aliwahi kumfundisha maana kukaa na mastaa kazi.

Sijui kafika hata robo fainali ya mashindano ya kimataifa mara ngapi?

Yaani kila kitu sijui tu kuhusu Sarri ila nachojua alikuwa vizuri kumshindikiza Juventus kutwaa taji kila msimu.

YAJAYO YANACHEKESHA, TUTAMKUMBUKA ANTONIO CONTE NA MIZUKA YAKE YA USHANGILIAJI!
 
Ukiipata hiyo CV ilete hapa

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom