Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!
Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.
Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark
Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.
Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark
Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.
Iwe Jogi-Kante-New CAM