johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
wahspain uwa wanaiman na wachezaj waoMakocha wanaangalia current performance kwenye club ili kuchagua vikosi vya national team
wahspain uwa wanaiman na wachezaj waoMakocha wanaangalia current performance kwenye club ili kuchagua vikosi vya national team
Rodrigowahspain uwa wanaiman na wachezaj wao
Hivi lengo la Liverpool kushinda mechi ile ya juzi dhidi ya Bournemouth ilikuwa ni nini vile?
Umejibu vyema, kumbe na jibu la swali uliloliuliza ulikuwa naloLengo la Liverpool lilikuwa ni Kujihakikishia Nafasi Ya Kucheza [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] next season.
Naomba Unijibu Na Mimi swali nililouliza Hapo juu.
Umejibu vyema, kumbe na jibu la swali uliloliuliza ulikuwa nalo
Lengo la Liverpool lilikuwa ni Kujihakikishia Nafasi Ya Kucheza [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] next season.
Naomba Unijibu Na Mimi swali nililouliza Hapo juu.
Kwahiyo Unamaanisha Kuwa 'Nijiaminishe Kuwa Na Nyinyi Munagombania Top Four this season'? Unbelievable!!!
Kwahiyo Unamaanisha Kuwa 'Nijiaminishe Kuwa Na Nyinyi Munagombania Top Four this season'? Unbelievable!!!
![]()
Now ... That was unbelievable ...until he ...Demba Ba.... The rest is history
Mpira dakika tisini mkuu, as long as its mathematically possible every point counts
![]()
How did that happen ?
kama hujapata jibu la swali lako kwenye hiyo picha then you are stupid 😵Hapo inamake sense Kwa Man City Kuwa Bingwa Na Wala Hapana Cha Ajabu! You Know why?
Liverpool Alikuwa Mbele Kwa Michezo Miwili dhidi Ya Man City Jambo Ambalo Wangekuwa Level Sawa Ya Michezo Basi Man City angelipitwa Kwa Point 3 tu ambazo alihitaji Liverpool apoteze Mchezo mmoja tu dhidi Ya Chelsea ili yeye Man City afaidike Na GD.
Lakini Chelsea Kwa sasa waliopo Juu Yake Wapo Level sawa ya Michezo Si Kwamba yeye ana game in hand Na Anamhitaji Liverpool apoteze Michezo Mitatu kati Ya Minne aliyobakisha, Na Anamhitaji Spurs apoteze Michezo 2 Katika Ya 4 aliyobakisha, Huku yeye Chelsea Ashinde Michezo Yake Yote 4 iliyibakia bila ya Kutoa Sare Hata mmoja.
Sifikirii Kama Hilo Linawezekana.
So, Your comparison is ridiculous...
kama hujapata jibu la swali lako kwenye hiyo picha then you are stupid 😵
Never say never ,... That is the spirit every good team should haveYou'll see my stupidity only If you hutaki Kukielewa Nilichokifafanua Kati Ya Game in Hand Na Same Game level... 'Picture talks thousand words' Mpaka Hapo sina cha kukusaidi!
kalou 'Chelsea are fighting a losing battle' Trust me!
Hili kaburi ni la enzi za wwii ha ha ha noma sana akijibu nii tagHuyu sio wewe
Sasa anachezaje mpira vizuri ikiwa hatimizi majukumu yake.Morata anacheza mpira vzr tu ila tatzo ni kufunga hana jicho la ufungaji
Yaan nyinyi miaka ya nyuma hamkua na jeuri hii. Masimini akipata bwana matter core hulia mbwata.Kwahiyo Unamaanisha Kuwa 'Nijiaminishe Kuwa Na Nyinyi Munagombania Top Four this season'? Unbelievable!!!
MamlukiWakuu bora tutolewe mapema awa man u wasije waka tuaibisha aisee maana na gutimu gwetu ugu
Nishakuambia baki na team yako achana na chelseaWakuu bora tutolewe mapema awa man u wasije waka tuaibisha aisee maana na gutimu gwetu ugu