RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,880
- 129,907
Mnaingiaje?lakini mi naona kama chelsea tutaingia big 4
Mnaingiaje?lakini mi naona kama chelsea tutaingia big 4
Hivi unajisikiaje kusikia Chelsea kashinda na chuki zako. Na tunakuja kuchukua sasa.Wakuu bora tutolewe mapema awa man u wasije waka tuaibisha aisee maana na gutimu gwetu ugu
Conte asajili fasta aisee lasivyo manure watatutia aibu Wembley pale daahHivi unajisikiaje kusikia Chelsea kashinda na chuki zako. Na tunakuja kuchukua sasa.
Jitoe ufahamu. Tunafumua kotekote sisi.Conte asajili fasta aisee lasivyo manure watatutia aibu Wembley pale daah
Conte asajili fasta aisee lasivyo manure watatutia aibu Wembley pale daah
Daah c anafoc2 wachezaji ambao awachez ligi yoyote au hujui iloNina Wasiwasi Kuwa Hawa Wengine Ni Wacheza [HASHTAG]#Rede[/HASHTAG] na Si Watu Wa Soccer! Hivi Sasahivi Kuna Usajili?
Akikumbuka tulivyowafanya mwaka Jana anapata kiholoHivi unajisikiaje kusikia Chelsea kashinda na chuki zako. Na tunakuja kuchukua sasa.
Kwani abromovich huwa anatabirika basi atachukua na FA na anaweza kuingia top four na bado akamtimua tuAsante Sana [HASHTAG]#Conte[/HASHTAG] Kwa Kujihakikishia Kibarua Chako Kipo Salama na wala Hakigeuki Kama Cha Wenger.
Huyu ni shabiki wa man u anajitoa ufahamu tuNina Wasiwasi Kuwa Hawa Wengine Ni Wacheza [HASHTAG]#Rede[/HASHTAG] na Si Watu Wa Soccer! Hivi Sasahivi Kuna Usajili?
Naomba mwenye group la chelsea ani add tafadhali
Mchezaji bora wa msimu kwa chelsea Eden HazardChelsea 2017/18:
Most goals: Eden Hazard (16)
Most assists: Eden Hazard (11)
Most dribbles: Eden Hazard (211)
Most chances created: Eden Hazard (124)
Most key passes: Eden Hazard (113)
Most shots: Eden Hazard (96)
Most MOTM: Eden Hazard (14)
kwangu mm Ngolo kante ndo mchezaji bora wa msimuMchezaji bora wa msimu kwa chelsea Eden Hazard