Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana marehemu kapiga chafya ndani ya jeneza tukafunua heee katoka na nguvu kumbe mzima hakufu tulitaka kumzika mzimamzima
Wee mtu unaona man u ni bora sana wakati uko kwenye hali ngumu sana ...timu yako bado ni mbovu mnoo!
 
Man u na chelsea nani yupo kwenye hali ngumu mno?
Man u mmepanda kwenye top four kwa ujanja wa MOU tu lakini timu yenu bado mbovu sana. Na tatizo kubwa la Manu ni kutokuwa na umoja na kusikilizana kwa wachezaji hasa baada ya ujio wa Sanchez na mshahara wa kufuru wakati hana lolote
 
Toka nianze kuingia ktk majukwaa ya michezo hii ndo post takataka kuwahi kusoma sijui umeandika nini? Conte kwa hiyo ni mjinga sio mjanja? Masikilizano ya wachezaji unakaa ulaya wewe au mhudumu wa timu? Mshahara wa sanchez manchester wanaingiza pesa ngapi?

Kwa kukusaidia rashford na lingard wanakula zaidi ya £100 ambapo victor moses na ile kazi anapokea £75 huwez kulipa mshahara mzur wakat unaingiza kidogo de gea anaenda kula £300
 
Pogba na DeGea wakitoka ndio utajua hakuna masikilizano kwenye timu. Na unaposoma post za wenzako tafakari kabla ya kujibu
 
IMG_20180126_205218.jpg

Mkuu Kuna Hili Slogan Nimelihivazi Zaidi Ya Miaka 3 iliyopita Ambalo Lilikuwa Likielezea Utamaduni Wa Man United Hususan Katika Zama Za Kocha Wa Makocha Sir AF.

Bango Hili Lilioneshwa na Washabiki Wa Man United Katika Moja Ya Mechi zake na Man City wakiwapiga Mdongo Man City Kutokana Na Kutumia Pesa Nyingi Katika Mishahara Ya Wachezaji.

Hivi Unataka Kunambia Mashabiki Wa Man United Wanameza Maneno Yao Yaliyomo Katika Hilo Slogan Na Wachezaji Hawana Tena ishu Ya Kujitengenezea Historia Ya Timu na Badala Yake imewaiga Man City Kwa Kujitengenezea Hela Kwa Mishahara Minono?

Nakuomba usijadili Hisia Zangu (As Liver Fan) Bali Concentrate Kwenye nilichokiandika.
 
Pogba na DeGea wakitoka ndio utajua hakuna masikilizano kwenye timu. Na unaposoma post za wenzako tafakari kabla ya kujibu
Pogba na de gea sio manchester united imeanzishwa kabla yao wakitaka kusepa kama dau watalikubali wenye timu tia sokon kapita ronaldo,beckham majembe kibao itakuwa hao!!!!!! Hakuna mchezaj mkubwa kuishinda timu bwana mdogo

Pevuka basi mi post zako hatasizielew kwa hiyo akiondoka hazard chelsea inashuka daraja?
 
View attachment 745472

Mkuu Kuna Hili Slogan Nimelihivazi Zaidi Ya Miaka 3 iliyopita Ambalo Lilikuwa Likielezea Utamaduni Wa Man United Hususan Katika Zama Za Kocha Wa Makocha Sir AF.

Bango Hili Lilioneshwa na Washabiki Wa Man United Katika Moja Ya Mechi zake na Man City.

Hivi Unataka Kunambia Mashabiki Wa Man United Wanameza Maneno Yao Yaliyomo Katika Hilo Slogan Na Wachezaji Hawana Tena ishu Ya Kujitengenezea Historia Ya Timu na Badala Yake imewaiga Man City Kwa Kujitengenezea Hela Kwa Mishahara Minono?

Nakuomba usijadili Hisia Zangu (As Liver Fan) Bali Concentrate Kwenye nilichokiandika.
Mpira umebadika ndugu yangu pogba aliponunuliwa klopp alisemaje? Kamnunua vvd kwa bei gani? Kwa usajili anaofanya city na psg na hata barcelona walio na slogan ya la masia kocha yupi atavumilia? unaanzaje kulaumu mashabik wa united?

Ukitaka kushawish good players lazima mshahara uweke wa maaana.
 
Yah! Nimekuelewa... Ila Jitahadharini Musije Mukageuka Inter Mila ya Mwaka 1997 mpaka 2001.
 
Haka katimu kalishajipatia laana toka kipindi kile wapiga nduru wake mlianza kusema morata ni bora kuliko lukaku, bakanyoko ni upgrade ya matic na yule mvaa wigi bingwa wa kubeti ni upgrade ya mourinho.

Sasa mnakula jeuri yenu.
Vipi matokeo hapo OT.? Hope every thing is fine! Enjoy the good music alive
 
Oyaaa inabd Leo tuue uyu soton tuingie big4 nani kasema Europa inatuhusu
This is chesi bana tunagawa dozi akuna cha MATIC wala Costa
Game zijazo zote tunaua wa2 alafu manure na toti watapoteza alafu tunaingia big4
Dua zako ni nzuri sana
 
Dua zako ni nzuri sana
Ndugu hizo ndoto za mchana, mimi ninavyoona ni kwamba Liverpool atachukua nafasi ya ManU pale juu na Chelsea itabakia namba tano kwa sababu Chelsea sio timu nzuri ya kushinda mechi zote. Mwishoni mwa ligi timu zile ndogo zinakuwa mbogo kama zina point chini ya 40. Nina wasiwasi na mchezo kati ya Chelsea na Hud, Swansea na Liverpool. Hud kama bado watakuwa chini ya 40 hawatakubali kiurahisi kufungwa, Swansea nayo hivyo hivyo, Liverpool watakuwa nafikiri bado watahitaji point za kupanda nafasi ya pili kwa heshima. Hata hii timu ya Banitez (Newcastle) ilitufunga na inaweza kutufunga tena, Burnley walifungua dimba kwa kutufunga na wanaweza kufanya hivyo hivyo kwani Chelsea haijabadilika ya akina Marina na Roman. Kwa ufupi hii Chelsea ya mwaka huu sina imani nayo bure nisije nikapata pressure ya kujitakia. Katka mechi tano zilizobaki tuna yumkini ya kushinda mbili, kufungwa 1 na kutoka sare mbili. kwa maana kuwa tuna pointi 8 tu hapo, je spurs watakuwa wao wakifungwa tu, ManU watakuwa wakifungwa tu, Liverpool waakuwa wakifungwa tu! Hata spurs wakitoa draw mara mbili hatutawafikia tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom