Siku zote ukiona chelsea imetwaa ubingwa basi msimu unaofuata hali inakuwa sio nzuriMsimu huu tumepitia magumu. Naamini timu yangu kipenzi Chelsea msimu hujao itarejea kwenye form#chlesea4real#
Ivi huwa ni kwanin lakini.Siku zote ukiona chelsea imetwaa ubingwa basi msimu unaofuata hali inakuwa sio nzuri
Huyu refa siyo, lkn watapigwa tu hakuna namnaOFFICIAL: Michael Oliver will referee the FA Cup final between Manchester United and Chelsea on May 19 which will kick-off at 17:15 BST. FourFourTweet on Twitter
Huyu refa siyo, lkn watapigwa tu hakuna namna
Hapo ongezea na MARK CLATERNBURGMechi vs Manure usimuogope Michael Oliver! Ogopa Wanazi Hawa:
1) Craig Pawson
2) Mike Deen
3) Anthony Taylor
4) Lee mason
5) Martin Atkinson
Hao Wanazi lazima Wakulazishe in favour for Manure
Wewe hayo mashindano ulijitahidi ukafokolewa na wa spain. Arsensl na Atletico wanapigania hayohayo, eti leo anajitokeza mtu anayadharau.Mwakani mtacheza Yuropa na wenzenu Real Socieded ya Spain na Mangleabach ya Germany!
Kwenye mashindano haya ya wanaume mmeisha shindwa!
Week ijayo baada ya kumpiga Roma nakuja nakupiga hapo hapo kwako
Wewe hayo mashindano ulijitahidi ukafokolewa na wa spain. Arsensl na Atletico wanapigania hayohayo, eti leo anajitokeza mtu anayadharau.
Kwani kule timu zinazoshiriki ni za wapi.? Acheni ushabiki maandazi
Mbuzi akijua tu kun'gata uzi wa gitaa, basi atajiita mbabe wa gitaa, Liverpool ndio maana walistahili hata kushuka daraka kwa miaka hiyo 20 bila kombe. Nguvu zenu za soda zina mwisho wake, akiondoka MO tu kwishineiNaona wenzako akina Ntuzu wamekuacha pekee yako unapambana ehehehe!
Mwakani mkochukua Yuropa watajazana hapa kuwapongeza ‘wapambanaji’
Mbuzi akijua tu kun'gata uzi wa gitaa, basi atajiita mbabe wa gitaa, Liverpool ndio maana walistahili hata kushuka daraka kwa miaka hiyo 20 bila kombe. Nguvu zenu za soda zina mwisho wake, akiondoka MO tu kwishinei