Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimefurahia droo ya Liverpool vs Man City. Hii inaweza kuwa na advantage kwetu Chelsea.

Tar 31/3 Palace atakuwa nyumbani kumenyana na Liverpool. Lakini pia tar 3/4 Liverpool atakuwa na mechi kubwa dhidi ya Palace.

Hii ina maana gani?
Ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mkubwa Salah, Van Djik na keyplayer mwingine wakapumzishwa dhidi ya mechi ya Palace kwa ajili ya kukabili miamba isiyotikisika, Man City . Amini usiamini Liver ina first eleven nzuri ila nje ya hapo haina substitute. Hivyo kama watawapumzisha hao wachezaji itakuwa vigumu kuishinda Palace uwanja wao wa nyumbani. So matokeo ya Liver si zaidi ya droo kwenye hiyo mechi. Kama Liver ikidroo ina maana watakuwa wakitutangulia kwa point mbili tu na mkumbuke tuna mechi nao mwezi wa tano na watakuja Stanford bridge.

Chelsea ina kazi moja tu! Kushinda kila mechi iliyobaki. Otherwise tutakwenda kucheza yale mashindano ya Alhamisi maarufu kama Futuhi.

But let's be positive because there is a promising future for Chelsea.

Mkuu pambana na hali yako
Naona daraja limeshasombwa na chemchem ya moto
Iliobaki ugombee CL slot kupitia Europa
 
Analyst hiyo Chelsea ya kumfunga Liverpool hata kama wapo nyuma points mbili ni ipi?
Mmaenda cheza Yuropa na mechi na Liverpool itakuwa tayari upo nyuma points 10+ hata mkishinda haiwapeleki popote
 
Cheki hapa ratiba iliyobaki kwa kila timu na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.

CHELSEA

Msimamo: Nafasi ya Tano

Pointi: 56

Mechi: 30

Ratiba mechi zilizobaki

Chelsea v Tottenahm

Chelsea v West Ham

Southampton v Chelsea

Burnley v Chelsea

Swansea City v Chelsea

Chelsea v Liverpool

Newcastle v Chelsea

Chelsea v Huddersfield

Chelsea imebakiza mechi nane kwenye Ligi Kuu England msimu huu na mechi zao ngumu inaanzia na ya leo Jumapili dhidi ya Tottenham na ngumu nyingine ni ile dhidi ya Liverpool. Uzuri ni kwamba mechi hizo zote zinafanyika kwenye Uwanja wa Stamford Bridge. Ukiweka kando mechi hizo, ratiba nyingine iliyobaki kwenye ligi hiyo, Chelsea hawana mambo magumu sana na kama kila kitu kitakakwenda kama kilivyotabiriwa basi wababe hao wanaonolewa na Antonio Conte wanaweza kumaliza ligi ya msimu huu wakiwa na pointi 76, sawa na ambazo wanatabiriwa Liverpool watazivuna mwishoni mwa msimu. Hapo sasa vita itakuwa imebaki kwa Liverpool na Chelsea nani wa kuingia Top Four, lakini Klopp ana nafasi kubwa ya kumbwaga Conte kutokana na kuwa na wastani mzuri wa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.
 
Nimefurahia droo ya Liverpool vs Man City. Hii inaweza kuwa na advantage kwetu Chelsea.

Tar 31/3 Palace atakuwa nyumbani kumenyana na Liverpool. Lakini pia tar 3/4 Liverpool atakuwa na mechi kubwa dhidi ya Palace.

Hii ina maana gani?
Ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mkubwa Salah, Van Djik na keyplayer mwingine wakapumzishwa dhidi ya mechi ya Palace kwa ajili ya kukabili miamba isiyotikisika, Man City . Amini usiamini Liver ina first eleven nzuri ila nje ya hapo haina substitute. Hivyo kama watawapumzisha hao wachezaji itakuwa vigumu kuishinda Palace uwanja wao wa nyumbani. So matokeo ya Liver si zaidi ya droo kwenye hiyo mechi. Kama Liver ikidroo ina maana watakuwa wakitutangulia kwa point mbili tu na mkumbuke tuna mechi nao mwezi wa tano na watakuja Stanford bridge.

Chelsea ina kazi moja tu! Kushinda kila mechi iliyobaki. Otherwise tutakwenda kucheza yale mashindano ya Alhamisi maarufu kama Futuhi.

But let's be positive because there is a promising future for Chelsea.

Bado Ukali na Mawazo Haya Ya Kumfukuza na Kumpita Liverpool FC ?
 
Bado Liverpool hawana consistency... kwa hiyo hawawezi kutisha sana.

Ndani Ya Mwaka 2018 Liverpool imepoteza Michezo Miwili tu Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG], Hebu Tupe Maana Ya Consistency ili uprove unachokiongea!
 
Basi tena ligi ishaisha,bingwa kishafahamika na top 4 ishakamilika,labda mpambano mkali upo kwa wanaoushuka daraja.
 
So, whatever hope we had about top for was Delle Allied today
 
Imeisha umeimaliza ww....
Sasa hapo unategemea Chelsea ataingia 4 bora,kuwa mkweli tu ndugu yangu subiria msimu ujao,ligi kwa upande wa top 4 ishaisha,komaa na Arsenal pamoja na Burnley upate japo nafasi ya kushiriki EUROPA.
 
Kwan nan cheli......
Sasa hapo unategemea Chelsea ataingia 4 bora,kuwa mkweli tu ndugu yangu subiria msimu ujao,ligi kwa upande wa top 4 ishaisha,komaa na Arsenal pamoja na Burnley upate japo nafasi ya kushiriki EUROPA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom