Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Last time Tottenham won at Stamford Bridge was 1990!
Kwao ni rekodi kwa kuwa leo wamepata matokeo.Wananikumbusha chama langu lilivyokuwa wakati David Moyes anaruhusu watu wanavunja na kuweka rekodi pale OT.
 
Mechi gani? Hawa wote kawaacha nyuma point karibu kumi, sasa kuna jipya hapa?

Man City anakufunga
Wewe msimamo wa EPL mwishoni utakuwa wa 4!Ni kweli utacheza UCL mwakani lkn utamaliza wa nne
Man City
Liverpool
Totenham
Man U
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom