LetterTo MyFather
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 308
- 666
The only mistake Chelsea made was to wear a white jersey..now messi thinks he is playing against Madrid.....
Uingereza hakuna timu huko ni magenge ya walevi tupuEnglish clubs are a joke, timu tano leo zimebaki mbili. Naona Giroud na Alexis wanazisaidia timu mpya kutinga fainali.
Mechi tunayocheza leo haihitaji tufunguke. Tunahitajika kukaba muda wote. Fab hawezi hii mechiMkuu kama msimu huu mzima hujaona kazi ya Fab basi. Fab ndo anafanya timu ihold mpira, na mara nyingi huwa anatulia na mpira na kutoa nafasi kwa washambuliaji wetu kujipanga. Udhaifu wake ni kwamba anapoza mpira ila siku akikosa ndo utaona kazi yake
Tuko nyuma kwa goli mbiliNaona leo ameenda kwa ajili ya kushambulia ili apate goli mapema labda

Mkuu japo mimi ni United lakini kocha kazingua kumwanzisha Fab. Kama alivyozingua Morinho kumwanzisha Fellain.. Ila ngoja tusubiri kipindi cha pili labda atabadilikaSijui kwa nini kamuanzisha Fab. Sielewi sababu ya Fab kuanza