hii itamfaaa boya huyuAu hii ndio itafaa zaidi?View attachment 715082
Mkuu ulikuwa unatania?Kila mbabe ana mbabe wake nawahurumia sana Barcelona leo anakula za uso mbele ya mashabiki wake.
Kafanya nn Messi?Messsi messi messi messi messi messi messiiiiiiiiiiiii
Umetisha sanaBarcelona 3 chelsea 0
Hahah!!hii itamfaaa boya huyu
Hii game ni sisi ndio tumeshindwa kuimaliza. Yan Barcelina huyu unamchezea na wakati mwingine unamiliki mpira vizuri tumeshindwa kutoka na hata goli moja.
Beki ni mbovu na Foward line butu.
Mpira ni mchezo wa makosa na kosa unalolifanya mwenzio ndio anakuadhibu hapo hapo, Mess jana alikua bora sana.. 2 goals + One assist katika ushindi wa 3-0 alafu unauliza Mess kafanya nini kweli?Kafanya nn Messi?
Messi kaokota tu bao zote mbili kwa upuuzi wa kipa wa Chelsea!
Chelsea walipambana sana hasa katikati lkn kipa kawaangusha sana mabao yote matatu
Chelsea ni team nzuri sana,fukuza kipa huyu mwenye ego jenga team
Nikweli kabisa mkuu jamaa ndio alikua mchawi wa game, alafu kuna mtu eti anauliza Mess kafanya nn jana? Watu wengine mpira sijui wanasikiliza redion au ni mapenzi tu yanasumbuaMessi-ah was the difference, ila mlicheza vizuri sana. Hata possession haikuwa na tofauti kubwa, nadhani 53-47, sio mbaya. Hii game kale ka magician ndio kaliiamua.
Ni moja ya mabeki bora. Yaani katika bora hayuko peke yake.Si Kuna Baadhi Ya Mashabiki Wenu Wanasema Christensen ndiye Beki Bora Ndani ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Kwa Sasa?
Au hii ndio itafaa zaidi?View attachment 715082
Kweli mkuu kipa kachomesha sana jana yani hasa lile goli la kwanza dah.....mtu yupo ktk engo kabisa yeye anachanua miguu,chelsea ilicheza vizuri sana ila kipa miyeyusho.....nimekereka sana janaKafanya nn Messi?
Messi kaokota tu bao zote mbili kwa upuuzi wa kipa wa Chelsea!
Chelsea walipambana sana hasa katikati lkn kipa kawaangusha sana mabao yote matatu
Chelsea ni team nzuri sana,fukuza kipa huyu mwenye ego jenga team
Duh....matusi hayaSi Kuna Baadhi Ya Mashabiki Wenu Wanasema Christensen ndiye Beki Bora Ndani ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Kwa Sasa?
Acha mambo yako wewe yaani huyu bwege anakaa nyuma sana kwa yule kipa wa spurs,yaani 3 bora niKatika Kumbukumbu Zangu Sijawahi Kumkubali Huyu Kama Ni Kipa Bora Tofauti na Watu Wanavyomdhani.
Ni Ninawashangaa Sana Real Madrid Wanavyomng'ang'ania Huyu Jamaa wakati Kipa Waliyenae Ni Bora Mara 100 kuliko Wa Chelsea!!!
Ninachoweza Kusema Ni Kuwa Kipa Wa Chelsea Ni Kipa Namba 2 Kwa Uzuri Baada ya De Gea pale [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] tu.
Lakini Kidunia Kwenye Class walizo Kina Te Stegen, Oblak, De Gea, Allison, Sven Ulreich, Keylor Navas na Manuel Neuer Basi Huyu Bwege Hakanyagi Hasaaa!!!
Katika Kumbukumbu Zangu Sijawahi Kumkubali Huyu Kama Ni Kipa Bora Tofauti na Watu Wanavyomdhani.

eti bwege...