Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimefurahia droo ya Liverpool vs Man City. Hii inaweza kuwa na advantage kwetu Chelsea.

Tar 31/3 Palace atakuwa nyumbani kumenyana na Liverpool. Lakini pia tar 3/4 Liverpool atakuwa na mechi kubwa dhidi ya Palace.

Hii ina maana gani?
Ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mkubwa Salah, Van Djik na keyplayer mwingine wakapumzishwa dhidi ya mechi ya Palace kwa ajili ya kukabili miamba isiyotikisika, Man City . Amini usiamini Liver ina first eleven nzuri ila nje ya hapo haina substitute. Hivyo kama watawapumzisha hao wachezaji itakuwa vigumu kuishinda Palace uwanja wao wa nyumbani. So matokeo ya Liver si zaidi ya droo kwenye hiyo mechi. Kama Liver ikidroo ina maana watakuwa wakitutangulia kwa point mbili tu na mkumbuke tuna mechi nao mwezi wa tano na watakuja Stanford bridge.

Chelsea ina kazi moja tu! Kushinda kila mechi iliyobaki. Otherwise tutakwenda kucheza yale mashindano ya Alhamisi maarufu kama Futuhi.

But let's be positive because there is a promising future for Chelsea.
Nadhani bado hujaiona njaa ya Ings...
Jipe moyo maana ushabiki ndio upo hivyo, lakini pia wachezaji wapo kwa ajili ya kucheza. Kucheza dhidi ya Man City hakuizuii Luverpool kumfunga Crystal Palace.
Mbona husemi Man City atapumzisha wachezaji wake katka mechi dhidi ya Liverpool maana baada ya hapo anacheza na Manure katika mechi ya kuchukulia ubingwa?
 
Ukishamaliza Kuweweseka Basi Kaa Chini Utulie...

Key Points:

• Huna uwezo na wala Haitotokezea Kushinda Michezo Yako Yote 8 iliyobakia.

• Pia Usisahau Kuwa Una Mchezo na Spurs.

• Kumbuka Kuwa Kwa Sasa Wa Kumtarget sio Liverpool Bali Ni Spurs Kwani ana Mechi Ngumu na Man City na Chelsea.

• Hata Tukipata Draw Kwa Palace na Everton bado Tutakuwa Tupo Juu Yako.

• Usisahau Kuwa Tunamichezo 3 Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] ndani Ya Anfield ambayo Yote Ni Mepesi Tunauwezo Wa Kila Mchezo Kushinda Kwa Goli 4+ na Kujikusanyia Points 9 na Msururo Wa Magoli ambayo Ni Pigo Kwenu.

• Na Mwisho Haimaanishi Kuja Kucheza Ndani Ya Stanford Bridge Ndiyo Muna Hatimiliki Ya Kutufunga! Tunaweza Kuwafunga au Kutoka Sare Kwani Akili za Conte anazijua Yeye Mwenyewe.

USHAURI:

Kwasasa Kumfukuza Liverpool Hakuta Wasaidia Kwa Lolote, Bali Mpigieni Mahesabu Spurs Ni Jinsi Gani Mutaweza Kumkamata Kwani Alitupita sisi Baada Ya Kugungwa Na Man United, Kwahiyo Na Sisi Tutampita Baada Ya Kuja Kufungwa na Man City na Chelsea.
 
Chelsea kucheza UEFA mwakani ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Do keep dreaming mkuu
Europa inawasubiri
Keep my comment
IMG_20180318_174346.jpg
 
Nadhani bado hujaiona njaa ya Ings...
Jipe moyo maana ushabiki ndio upo hivyo, lakini pia wachezaji wapo kwa ajili ya kucheza. Kucheza dhidi ya Man City hakuizuii Luverpool kumfunga Crystal Palace.
Mbona husemi Man City atapumzisha wachezaji wake katka mechi dhidi ya Liverpool maana baada ya hapo anacheza na Manure katika mechi ya kuchukulia ubingwa?
Kwa man C kuchukua ubingwa kwa Man U si issue kama kumfunga Liver.
 
Ukishamaliza Kuweweseka Basi Kaa Chini Utulie...

Key Points:

• Huna uwezo na wala Haitotokezea Kushinda Michezo Yako Yote 8 iliyobakia.

• Pia Usisahau Kuwa Una Mchezo na Spurs.

• Kumbuka Kuwa Kwa Sasa Wa Kumtarget sio Liverpool Bali Ni Spurs Kwani ana Mechi Ngumu na Man City na Chelsea.

• Hata Tukipata Draw Kwa Palace na Everton bado Tutakuwa Tupo Juu Yako.

• Usisahau Kuwa Tunamichezo 3 Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] ndani Ya Anfield ambayo Yote Ni Mepesi Tunauwezo Wa Kila Mchezo Kushinda Kwa Goli 4+ na Kujikusanyia Points 9 na Msururo Wa Magoli ambayo Ni Pigo Kwenu.

• Na Mwisho Haimaanishi Kuja Kucheza Ndani Ya Stanford Bridge Ndiyo Muna Hatimiliki Ya Kutufunga! Tunaweza Kuwafunga au Kutoka Sare Kwani Akili za Conte anazijua Yeye Mwenyewe.

USHAURI:

Kwasasa Kumfukuza Liverpool Hakuta Wasaidia Kwa Lolote, Bali Mpigieni Mahesabu Spurs Ni Jinsi Gani Mutaweza Kumkamata Kwani Alitupita sisi Baada Ya Kugungwa Na Man United, Kwahiyo Na Sisi Tutampita Baada Ya Kuja Kufungwa na Man City na Chelsea.
Unakumbuka kilichomtokea Liver baada ya kumkamia na kumfunga City?
 
Nimefurahia droo ya Liverpool vs Man City. Hii inaweza kuwa na advantage kwetu Chelsea.

Tar 31/3 Palace atakuwa nyumbani kumenyana na Liverpool. Lakini pia tar 3/4 Liverpool atakuwa na mechi kubwa dhidi ya Palace.

Hii ina maana gani?
Ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mkubwa Salah, Van Djik na keyplayer mwingine wakapumzishwa dhidi ya mechi ya Palace kwa ajili ya kukabili miamba isiyotikisika, Man City . Amini usiamini Liver ina first eleven nzuri ila nje ya hapo haina substitute. Hivyo kama watawapumzisha hao wachezaji itakuwa vigumu kuishinda Palace uwanja wao wa nyumbani. So matokeo ya Liver si zaidi ya droo kwenye hiyo mechi. Kama Liver ikidroo ina maana watakuwa wakitutangulia kwa point mbili tu na mkumbuke tuna mechi nao mwezi wa tano na watakuja Stanford bridge.

Chelsea ina kazi moja tu! Kushinda kila mechi iliyobaki. Otherwise tutakwenda kucheza yale mashindano ya Alhamisi maarufu kama Futuhi.

But let's be positive because there is a promising future for Chelsea.
Sio Kweli Livaerpool ni moja kati ya timu yenye kikosi kipana sana

Angalia Mechi ya Watford ya 5 - 0 yalifanyaija mabadiliko karibu manne

Middl kuna options kama
Milner, Hendo, Can, Lallana, OX, Gini

Back
Kuna VVD, Moreno, Alex, Matip, Lovern, Robert, Milner

Liverpool ilimkosa VVD kuwa challenger wa Man City
 
Matumaini pekee mwaka huu yamebakia kwenye FA

FA Semi Final April 2018
fa-semi-final-april-2018-png.718935
 
Attachments

  • FA Semi Final April 2018.png
    FA Semi Final April 2018.png
    4.5 KB · Views: 111
Sio Kweli Livaerpool ni moja kati ya timu yenye kikosi kipana sana

Angalia Mechi ya Watford ya 5 - 0 yalifanyaija mabadiliko karibu manne

Middl kuna options kama
Milner, Hendo, Can, Lallana, OX, Gini

Back
Kuna VVD, Moreno, Alex, Matip, Lovern, Robert, Milner

Liverpool ilimkosa VVD kuwa challenger wa Man City
Hivi Salah akiugua au kupata majeraha nani pale atashika nafasi yake na kuifanya kazi yake effectively? Maana tunajua Aguero akiumia Jesus anaweza kucheza vzur. Na vvd ambaye mlimkosa ili mweze kuchuana na Man C akiumia je? Maana Kampany, Walker au Danilo wanaweza kukosa mechi na usione utofaut
 
Matumaini pekee mwaka huu yamebakia kwenye FA

FA Semi Final April 2018
fa-semi-final-april-2018-png.718935
Bahati imeanza kuturudia, Lkn tuseme ukweli Costa, Terry and Matic ni big miss kwetu. Vijana wa nyuma ni wazuri ila wawili kati yao(Christensen na Ludigar wanakosa uzoefu. Kati Moses na Fab/Bakayoko wanapwaya. Mbele Morata anaanguka tu na kwa staili ya uchezaji wa Chelsea Giroud yupo slow
 
Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika
Kwa matokeo hayo Southampton na Chelsea zinaungana na Manchester United na Tottenham katika hatua ya nusu fainali,ambapo Chelsea itaivaa Southampton na Manchester United itachuana na Totenham.

Manchester United ilifanikiwa kutinga Hatua ya nusu fainali baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Brighton kwa magoli ya Romelu Lukaku na Nemanja Matic huku Southampton wakisonga mbele kwa ushindi wa bao magoli 3-0 dhidi ya Swansea city.
 
Sahihisha hapa
........huku Southampton wakisonga mbele kwa ushindgi wa bao magoli 3-0 dhidi ya Swansea city.
 
Tetesi

Beki wa Chelsea Andreas Christensen aliomba ushauri kwa nahodha wa zamani wa klabu hiyo John Terry - anayechezea Aston Villa - baada ya kiwango chake cha mchezo kudorora. (Eurosport Denmark, via Evening Standard)

Pendekezo la mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko kuhamia Chelsea mwezi Januari liligonga mwamba baada ya Roma kujiondoa katika mkataba huo wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.(Radio Rai, via Metro)
 
Bahati imeanza kuturudia, Lkn tuseme ukweli Costa, Terry and Matic ni big miss kwetu. Vijana wa nyuma ni wazuri ila wawili kati yao(Christensen na Ludigar wanakosa uzoefu. Kati Moses na Fab/Bakayoko wanapwaya. Mbele Morata anaanguka tu na kwa staili ya uchezaji wa Chelsea Giroud yupo slow
Zaman nilikuona unachambua mambo fresh ila sku zinavoenda unaniangusha sana..
Shda ya chelsea sio beki, shida ni kukosekana kwa mastreka wa ukweli na wenye nguvi na weledi wa ushapu (quick technical skills)

Kama umeangalia vzur mipira yetu tunachelewa kutoa maamuz pale golin na hii ni kwa sabab hatuna vipaji vya wasaka magoli ,. Wengi pale ni waunganishaji ila si wamalizaji.

Pia msimu huu kuna kama ka-gundu flani kwenye timu yetu, runakosakosa sana hatuna bahat ya mpra.. Inaezekana mwaka huu ni tasa kwetu.. Conte akasafishe nyota kwa mwakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom