Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Hata maana yake nini?Unaelewa maana ya (hata)
Uliuliza kwa kejeli nikekujibu vile unataka jamaa nliekuwa nafanya nae mjadala anajua nn tunazungumzia kabla hujaquote mtu yafaa usome vizur post na kuona mjadala ulianzia wap
But, nimekuelewa ila sikuuliza kwa kejeli,nilidhani labda tu umejichanga ila hukumaanisha hivyo.ndio maana nikakuuliza au unamaanisha Rooney.
Pamoja mkuu.

