Messi anaondoka na mpira leoHili Kipa lenu ni SHIPA
So angemwanzisha Bakayoko?Mkuu japo mimi ni United lakini kocha kazingua kumwanzisha Fab. Kama alivyozingua Morinho kumwanzisha Fellain.. Ila ngoja tusubiri kipindi cha pili labda atabadilika
umetisha sanaBarcelona 3 chelsea 0
Ndgu soma fans page ya chelsea uone matusHii game ni sisi ndio tumeshindwa kuimaliza. Yan Barcelina huyu unamchezea na wakati mwingine unamiliki mpira vizuri tumeshindwa kutoka na hata goli moja.
Beki ni mbovu na Foward line butu.
Yaani mancity anahusikaje tena hapa na kifungwa kwenu? Pambaneni na hali zenu. Kabla jamjajilinganisha na mancity anzia hapo kwa ambae yupo karibu yako.Timu imecheza vizuri kwa ujumla, ila Conte nae aache woga wa kuwaruhusu wachezaji wafunguke...
Nazani kwa makosa kama haya huwa yanatokea na kujirekebisha siku zijazo na wachezaji kuzidi kujiamini.
Kwa mpira huu kama tungecheza ile mechi na Man City habari ingekuwa nyingine.
Hongera yaoHongera chelsea kwa kuwatoa barca mi si mwana chelsea ila naniluu zote zimewapa ushindi