Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui kwa nini kamuanzisha Fab. Sielewi sababu ya Fab kuanza
Mkuu kama msimu huu mzima hujaona kazi ya Fab basi. Fab ndo anafanya timu ihold mpira, na mara nyingi huwa anatulia na mpira na kutoa nafasi kwa washambuliaji wetu kujipanga. Udhaifu wake ni kwamba anapoza mpira ila siku akikosa ndo utaona kazi yake
 
Kwa line up hii eti Girl Wood ndio anaongoza safu ya mashambulizi bora nilale tu.. Matokeo ninayo.. Exact score.. Barca 2-0 chelshit
 
Pole eeeee samak poleee
Wanvokufanya polee dagaa Pole
 
English clubs are a joke, timu tano leo zimebaki mbili. Naona Giroud na Alexis wanazisaidia timu mpya kutinga fainali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom