Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[HASHTAG]#CHELSEA[/HASHTAG] won 1 premier league Match in JAN.
And ONE this FEB. Their Winning streak is like Menstrual Period.
It comes Once a Month
 
Blues mark my words Kama huyu dogo Andreas ataendelea kucheza tutafungwa Kwa utoaji mbaya wa pasi, although he is smart barca or city hawaitaji makosa matatu wafunge.pia iliniuma anajigonga Kwa lukaku anaanguka pamoja na ubovu wa cahil experience na nguvu zinambeba ,Kati ya gemu 2 akianza tutapata matokeo Chanya
 
Chelsea player salaries:

Courtois £120k
Cahill £100k
Rudiger £90k
Alonso £90k
Christensen £100k
Azpilicueta £100k
Moses £75k
Bakayoko £120k
Fàbregas £156k
Kante £120k
Hazard £200k
Willian £120k
Pedro £100k
Morata £100k

Chelsea have the third highest wage bill in the PL!!!!!
 
Mechi ya kwanza 5 November mwaka jana Chelsea tulishinda 1-0 pale Stanford Bridge goli la Alvaro Morata akisaidiwa na César Azpilicueta dk ya 55
Na mechi zote mbili tulikuwa na shots nyingi, short on target nyingi, passes nyingi na possession 54% na ya jana 56%
Bahati haikuwa yetu tu.Mimi bado naamini UCL tutacheza na walioko pale wanatushikia kwa muda tu.Mechi 10 bado ni nyingi kuamua nani ni nani wakati difference ya point ni 4 kwa Liverpool na 2 kwa Spurs
Mark my words, EPL itaisha hivi;
1. Manchester City
2. Liverpool
3. Chelsea
4. Manchester United
 
Mark my words, EPL itaisha hivi;
1. Manchester City
2. Liverpool
3. Chelsea
4. Manchester United
Siyo bure yaani Mun utd chama langu limalize nafasi ya 4 toka ya 2.wewe utakuwa unachuki binafsi kutokana na kichapo.mzunguko huu liver,asenal wanakuja OT away mech kubwa moja ya man city.Utaumwa presha kwa roho yako mbaya..!
 
87c6943dfe65b58bb553074bdf4bd662.jpg
 
Siyo bure yaani Mun utd chama langu limalize nafasi ya 4 toka ya 2.wewe utakuwa unachuki binafsi kutokana na kichapo.mzunguko huu liver,asenal wanakuja OT away mech kubwa moja ya man city.Utaumwa presha kwa roho yako mbaya..!
Form aliyokuwa nayo Liverpool sasa hivi ni unstopable. Hata angekukuta gulioni angekuchapa sembuse OT? Chelsea condition moja tu inaweza kuiondoa top 4! Nayo ni kufungwa na Man City j2
 
[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] hawana kitu bana, draw ya Stanford Bridge ilikuwa ni ushindi kwao. angalia walivyonyanyaswa na [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] utafikiri wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.

[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani

Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003

Angalia pia Real Madrid vs Espanyol
 
Kwa wataalamu wa soka wanasema chelsea wanafungwa 2-0
Ila chochote kinaweza kutokea kama vijana watauchukulia kwa uzito huu mchezo wakijua kufungwa ni kuondoka kabisa kwenye top four
 
Kwa wataalamu wa soka wanasema chelsea wanafungwa 2-0
Ila chochote kinaweza kutokea kama vijana watauchukulia kwa uzito huu mchezo wakijua kufungwa ni kuondoka kabisa kwenye top four
FT Chalsea 2 Manchester City 1
 
Wakuu tupo pamoja leo ingawa mpanga ratiba alikuwa na agenda ya siri. Kukupangia ucheze ndani ya jiji la Manchester mechi mbili mfululizo sio uungwana. Ooops nimesikia mkitoka Manchester mnaelekea Barcelona! All the best, try not to make it CRICKET SCORE.
 
That will never be. Hii mechi inaweza kuisha aidha draw au Man City anakaa bila ushabiki.

My Prediction (Man city 1-2 Chelsea)
 
Bado nafasi ya nne kwa Chelsea ipo, cha msingi leo Timu isikubali kushindwa. Angalau itoke na droo.

Mechi mbili ndo zitaamua Chelsea asiingie big four. Nazo ni mechi ya
Chelsea vs Tottenham na
Tottenham vs Man City na hapo Chelsea tutapaswa kushinda mechi zote zilizobaki
 
Nafasi ya 2-4 bado hazina mwenyewe.
 
Kama kawaida tayari wenye jukwaa wameshalikimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom