Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Wamuache mpaka mwisho wa msimuHivi bado tu hawajamtimua
Huyu atimuliwe kabla ya kukutana na barcelona
Wamuache mpaka mwisho wa msimuHivi bado tu hawajamtimua
Huyu atimuliwe kabla ya kukutana na barcelona
Usimguse mrithi wa the Fundi MaticBakausengee.. Drinkwater alimkosea nini Conte?
Mkuu hawawezi mtimua saivi labda mpaka msimu uisheHivi bado tu hawajamtimua
Huyu atimuliwe kabla ya kukutana na barcelona
Bakayoko Huyu jamaa Ball control hana Hajiaamini anapoteza Pasi hovyo kibaya xaidi Anapoteza pasi kwenye Maeneo Hatari Kwa Game ya Jana kwa Manager yeyote yule Bakayoko angepigwa Sub ndani ya Dk 10.

Subiri kwanza hadi tar 20 ndio aondokeKocha aondoke
Aondoke na bakayoko wake.Wamuache mpaka mwisho wa msimu
Hapa naona kuna mtu anarudi nafasi yake ya akawaida baada ya kuchukua ubingwa....8!
Mtatimua makocha hadi lini mkuu,yani nyie hamuwezi kukaa miaka miwili bila kufukuza kocha,inawezekana tatizo mnalo nyieHivi bado tu hawajamtimua
Huyu atimuliwe kabla ya kukutana na barcelona
HahahaaHapa naona kuna mtu anarudi nafasi yake ya akawaida baada ya kuchukua ubingwa....8!
Hili nalo neno MkuuMtatimua makocha hadi lini mkuu,yani nyie hamuwezi kukaa miaka miwili bila kufukuza kocha,inawezekana tatizo mnalo nyie