Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aondoke na bakayoko wake.
Baada ya kusajili watu.
Anasajili mizigo akina giroud.
Conte sio mzima kabisa kichwani kwake.


Hivi Ndani Ya Chelsea Bado Kuna Fans ambao Hawajui Kuwa Chelsea ana Project Kubwa Zaidi Ya Ujenzi Wa Uwanja Mpya?
Je wanajua Budget ya Hiyo Project?

Hapo Ndiyo Panapoanzia tatizo! Kiukweli Kutokana na ujenzi Wa Uwanja Mpya Tusitegemee Chelsea Kuingia Sokoni Na Kununua Mchezaji Wa £90m+ Hata siku moja.
 
  • Chelsea made a mistake in the summer transfer window with the money paid for Tiemoue Bakayoko, says Ray Wilkins.
  • Meanwhile, Chalobah impressed at Vicarage Road in the first few games of the season before picking up a knee injury.
  • Wilkins, a former coach at Chelsea, believes the club made an error allowing Chalobah to make way for Bakayoko.
  • ‘Chalobah went to Watford for £6m, they bought in Bakayoko for £40m. Both the same age [both are 23].
  • Where is the £34m differential between those two players? I just don’t see it,’ he told Sky Sports.
  • ‘You’ve got an English boy that has grown up, played 100 games for England through the ranks which is phenomenal, and we let him go to Watford for £6m.
  • He loves Chelsea, he’s a Chelsea boy and I just can’t see for the life of me why we do this.’

Read more: Chelsea news: Bakayoko error made with Chalobah exit, says Wilkins | Metro News
 
Conte **** sana
Hv hilo tusi una mtukn conte au Mama yako maaana conte hiv vijembe hamfikiii na maon yetu hayasomi ya nini kuchuma dhambi mkuuuu kwa kitu hakina umuhimu kwako nenda fans page ya chelsea tukn au chelsea tv tukn to ushauri huenda ukasikiliza FIKILIA KI MPIRA SI KISHABIKI NA KIZUZU KARIBU CHELSEA
 
Hivi Ndani Ya Chelsea Bado Kuna Fans ambao Hawajui Kuwa Chelsea ana Project Kubwa Zaidi Ya Ujenzi Wa Uwanja Mpya?
Je wanajua Budget ya Hiyo Project?

Hapo Ndiyo Panapoanzia tatizo! Kiukweli Kutokana na ujenzi Wa Uwanja Mpya Tusitegemee Chelsea Kuingia Sokoni Na Kununua Mchezaji Wa £90m+ Hata siku moja.
Mwakn uwanja utakwisha
 
C76ABB0F-32E3-41E4-967D-C8B270CCCABB.jpeg
 
Hili nalo neno Mkuu
Mie na "declare interest ni shabiki wa kutupa tena teja kabisa" wa Chelsea Fc lakini naona kuna tatizo ndani ya klabu yenyewe. Inaweza kuwa bodi au hata mmiliki maana kila kocha anaekuja akimaliza miaka miwili ni bahati
Kuna nyakati lazima tuwe wakweli, kushinda makombe makubwa kama UEFA inataka timu iliyojengwa imara na kocha japo kwa muda mrefu kidogo. (Sitaki tuzungumzie akina Arsenal nkhawa wana sababu zao japo kocha ana muda mrefu) Sasa sie tumekuwa watu wa kutaka mafanikio wakati timu yetu inakuwa kama ni kikundi cha wachezaji walioletwa kwa mashindano ya muda maalumu ambapi watacheza vema wakiwa hawajafahamina vema na kocha. Wakishamzoea tu kocha bhasi vitimbi haviishi. Haya, ukija bodi yetu nayo imezingua kiukweli, kocha anataka wachezaji wa aina hii wao wanaamua tofauti (kuna maelezo ya kutosha yapo bbc sports/football, nikipata muda ntayaweka hapa). Emenalo alikuwa anaonekana anazingua lkn sasa ukweli unaanza kudhihiri
Hapa, isitafsiriwe kama namtetea Conte laa hasha lakini ifike wakati timu itulie na kocha japo kwa muda mrefu huwezi kushinda kila mwaka makombe na ile ligi ngumu. Penye mapungufu ya kocha yarekebishwe lakini maamuzi yale ya kumfukuza kocha ukiangalia takwimu (nilikuwa nafuatilia mtandao mmoja nadhani bbc sports/football nirekebishwe km nimekosea kuukopi) mashabiki wengi hawaungi mkono tena suala la timua timua. Ni kweli kuna baadhi wa wachezaji wanacheza chini ya kiwango mf Cahil, Bakayoko ambayo labda kwa uchovu, kushuka kwa kiwango nk, lkn sasa yatosha
Mambo ya "who will be Chelsea next coach" kila baada ya muda mfupi haifai
Kweli
 
Hii wiki haitaisha na nafikiri habari za kesho asubuhi, "Conte Sacked"
Conte kafanya makusudi ili apate kibunda cha kufukuzwa. Naona kuna makosha wanafana a different business hapa ya kujipatia pesa za bingo bila kufanyia kazi
Conte hatafukuzwa mpaka msimu uishe. BBC SPORT
 
Tangu Conte aanze mabishano na Jose mambo hayakumuendea vizuri sijui kwa nini?
Katika michezo 10
Tumeshinda: 2
Sare: 5
Tumefungwa: 3
Tumetolewa League Cup
Nafasi ya nne kwenye ligi

Huko Mbeleni
Tutatolewa FA
Tutatolewa UEFA na Barcelona
Tutamaliza ya 7 kwenye ligi

Conte ni lazima atoke ili Chelsea iundwe upya
Ngoja niitunze post yako tutaitumia baadae kama reference
 
Hivi Ndani Ya Chelsea Bado Kuna Fans ambao Hawajui Kuwa Chelsea ana Project Kubwa Zaidi Ya Ujenzi Wa Uwanja Mpya?
Je wanajua Budget ya Hiyo Project?

Hapo Ndiyo Panapoanzia tatizo! Kiukweli Kutokana na ujenzi Wa Uwanja Mpya Tusitegemee Chelsea Kuingia Sokoni Na Kununua Mchezaji Wa £90m+ Hata siku moja.
Unajua kuwa Chelsea ametumia pesa nyingi kusajiri wachezaji msimu huu kuliko Liverpool? Sema bodi imesema haitanunua mchezaji gharama kubwa kuliko thamani yake. Kumbuka Chelsea ni biashara ya mtu, so mwisho wa siku watanunua wachezaji wa kawaida ili kocha awadevelop.
 
*Do we have Chelsea fans here? I am only asking 4 - 1 reason...to find out wat-ford ranger Conte drives*
 
Screenshot_20180207-070509.png

Huyu hana mapenzi na timu tena wansababisha migawanyiko ktk timu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom