kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,753
Siyo imeshateketea mkuu! Kama vile yamebaki majivu.Nyumba inaunguaaaa
Siyo imeshateketea mkuu! Kama vile yamebaki majivu.Nyumba inaunguaaaa
Mwaka huu mtafukuzanya wote!!! Sijuw wakubaki pale. Pole sana kwa vipigo.Siku zote kocha anaondoka mchezaji anabaki
Bakayoko apewe muda
Ila cahil aondoke tu umri umemtupa mkono
HahahahaLeo siku haipiti lazima antonio conte ATIMULIWE
karibu darajani LUIS ENRIQUE
Wameshinda 4-1 mkuu. HahahahaVipi matokeo mmeshinda ngapi wadau?
Babu seya amesawazisha na kuongeza dakika ya 300.. Watford 4-5 ChelseaVipi matokeo mmeshinda ngapi wadau?
Mkuu pole sana aseeeSiku zote kocha anaondoka mchezaji anabaki
Bakayoko apewe muda
Ila cahil aondoke tu umri umemtupa mkono
Hapana sio vilio, ni machozi ya furaha, mana mwizi karudisha mil 4 alizoiba, jana usikuMbona naona vilio vingi hapa, Kunani?
Ha ha ha haHabari zitufikie.
Yaani ndani ya dakika 6
Goli 3?
Usalama wa conte upo kwa Barcelona. Akifungwa safari itamuhusu.
Bakayoko na conte watakuwa na mahusiano binafsi.
Suala ni usajili point yangu ipo hivyo japo baadhi ya watu humu walinikatalia hata aje huyo kocha hamna jipya si alikuwa Roma huyo kabla ya kwenda barca kapita na celta vigo kule barca mbele palikuwa MSN mtamfukuza tu conte lakin tatizo bado halitakwisha hajasajili wachezaj wenye ubora na alilalamika sana usajili unaofanywaHapa coach hatakiwi mkuu ndio maana wanafungwa na hizi team ndogo
Karibu Darajani Luis Enrique
Hahahaha poleMamaeee Conte