eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Sisi tunataka makombe ndio falsafa yetuMtatimua makocha hadi lini mkuu,yani nyie hamuwezi kukaa miaka miwili bila kufukuza kocha,inawezekana tatizo mnalo nyie
Hii sio arsenal mkuu
Sisi tunataka makombe ndio falsafa yetuMtatimua makocha hadi lini mkuu,yani nyie hamuwezi kukaa miaka miwili bila kufukuza kocha,inawezekana tatizo mnalo nyie
Waache wabaki kudhani kwamba akija kocha mwingine Morata ataanza kucheza kama Suarez au Bakayoko atakuwa kama ModricSuala ni usajili point yangu ipo hivyo japo baadhi ya watu humu walinikatalia hata aje huyo kocha hamna jipya si alikuwa Roma huyo kabla ya kwenda barca kapita na celta vigo kule barca mbele palikuwa MSN mtamfukuza tu conte lakin tatizo bado halitakwisha hajasajili wachezaj wenye ubora na alilalamika sana usajili unaofanywa
Quality vs quantity
Kumbe Chelsea anasajiri kocha siku hizi!?Aondoke na bakayoko wake.
Baada ya kusajili watu.
Anasajili mizigo akina giroud.
Conte sio mzima kabisa kichwani kwake.
Kumbe anasajili nani.?weweKumbe Chelsea anasajiri kocha siku hizi!?
Kocha hausiki katika maswala ya usajili kama ilivyo kwa Arsenal au baadhi ya club nyingine. Bodi ndo inafanya usajiriKumbe anasajili nani.?wewe
Kama bodi. Ndo inafanya usajili kwanini analaumiwa conteKocha hausiki katika maswala ya usajili kama ilivyo kwa Arsenal au baadhi ya club nyingine. Bodi ndo inafanya usajiri
Bakayoko alikuwa anacheza namba ngapi pale arsenal????Bodi ya Chelsea ni wapumbavu. Alilalamika kuhusu kuwa na kikosi kichache na kuhitaji wachezaji wa kiwango cha juu, lakini kazi kuleta mizigo kutoka Arsenal tu.
Huyu angeanza musingefungwa
Giroud kifaa weweAondoke na bakayoko wake.
Baada ya kusajili watu.
Anasajili mizigo akina giroud.
Conte sio mzima kabisa kichwani kwake.
Wapi nimesema Bakayoko alikuwa Arsenal?Bakayoko alikuwa anacheza namba ngapi pale arsenal????