Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nataka niamini conte ni kocha bora sana kwa chelsea
Ukiangalia team inacheza mchezo mzuri na kutengeneza nafasi nyingi pia tatizo ni pale mbele ndio maana anatakiwa atafute striker bora mwingine wa kumpa changamoto morata sio unamtaka carrol
 
Huo ndo ukweli. Lakini pia watu wafahamu jukumu la usajili ni la scout na bodi. Waache kumlaumu Conte bila sababu. Ndo maana mm nlisema mwanzoni kuwa Michael Emenalo siyo tatizo, angalia kajiendea Monaco sisi tumebaki kukimbizana na Carol na akina Kichuya
 
We pembejeo kweli. Yan unaficha tarehe ili iweje sasa. Kibumbu wee tulia
NimepigA screenshot we zwazwa...ilipoenea nimeshot hivyohivyo... Ntalazimishaje kitu impossible..
Halafu kwan tarehe zinaingiaje hapa??? Sini asenali na chesi hizo??? Au kisa nimekugonga nyingi nyingi hapo za magoli mengimengi??
Tuliza hiyo midomo ya kingosha..
 
FB_IMG_1516332143582.jpg
 
Waliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Naona conte kachemka ktk usajili angalia level za wakina hazard na hawa wanaoletwa wanarud nyuma kwa kasi mno
 
Naona conte kachemka ktk usajili angalia level za wakina hazard na hawa wanaoletwa wanarud nyuma kwa kasi mno

Mkuu Kuna Kitu Bado Hujakisoma!! Miaka Ya 2004 mpaka 2007 Chelsea Haijawahi Kugombaniana Mchezaji na Timu Yoyote Hile Ya Kiiengereza Wakashindwa!! Recall Case za Kina Obi Mikel, Essien, Ashley Cole n.k.

Lakini alishindwa Na Man U kwa Lukaku....
Kashindwa tena na Man U kwa Sanchez...
Kashindwa na Liverpool kwa Chamberlain....
Kashindwa tena na Liverpool kwa VVD....
Na Kuna Wachezaji tele ambao huu Ni Msimu Wa Pili anawataka Kashindwa Kuwapata....

Sasahivi anasajili Kina Drinkmaji, the so Called Barkley, Bakayoko, Zappacosta, Crauch, Carroll na Magarasa mengi tu..

Sasa Hapo Ni Wazi kuwa tatizo sio Conte! Bali Ni Tajiri Abramovic mwenyewe ameshastop Kutumia Mihela Mengi kwenye Usajili, Bali Anatumia Vihela vya Kusajili kina Drinkwater na Crauch...
Jamaa Hasara nyingi alizokula kwa Kutumia hela ovyo kwenye usajili sasa anazikimbia..

Bado Yule Tajiri Wa Mafuta nayeye mwishoni atakaa Sawa.
 
Mkuu Kuna Kitu Bado Hujakisoma!! Miaka Ya 2004 mpaka 2007 Chelsea Haijawahi Kugombaniana Mchezaji na Timu Yoyote Hile Ya Kiiengereza Wakashindwa!! Recall Case za Kina Obi Mikel, Essien, Ashley Cole n.k.

Lakini alishindwa Na Man U kwa Lukaku....
Kashindwa tena na Man U kwa Sanchez...
Kashindwa na Liverpool kwa Chamberlain....
Kashindwa tena na Liverpool kwa VVD....
Na Kuna Wachezaji tele ambao huu Ni Msimu Wa Pili anawataka Kashindwa Kuwapata....

Sasahivi anasajili Kina Drinkmaji, the so Called Barkley, Bakayoko, Zappacosta, Crauch, Carroll na Magarasa mengi tu..

Sasa Hapo Ni Wazi kuwa tatizo sio Conte! Bali Ni Tajiri Abramovic mwenyewe ameshastop Kutumia Mihela Mengi kwenye Usajili, Bali Anatumia Vihela vya Kusajili kina Drinkwater na Crauch...
Jamaa Basra nyingi alizokula sasa anazikimbia..

Bado Yule Tajiri Wa Mafuta nayeye mwishoni atakaa Sawa.

Point mkuu mana kwa sasa wanasajili wakina bakley,drinkingwater had wakina caroll daaaa nimeshangaa sana ile chelsea ngumu itapotea kwa sajili zao hizi
 
Waliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Pulling power ya Conte kwenye transfer ni ndogo ukilinganisha na kina Mourinho,Ancelotti na pia management inashindwa kutoa fedha kununua wachezaji kocha anaowataka
 
Conte is poooooorlest coach hafai hata kidgo aondoke tu kwanza na hasira then ana visiran na wachezaji
 
Peter Crouch hahahahahaha maji hayasahau asili yake tarabu mnaanza kyrudi kwenye ubora wenu hahahahaha
 
Pulling power ya Conte kwenye transfer ni ndogo ukilinganisha na kina Mourinho,Ancelotti na pia management inashindwa kutoa fedha kununua wachezaji kocha anaowataka

Ndiyo Pale Wenger baada ya kumuuza Sanchez aliponukuliwa akisema "Anapenda Timu Zinazojitengenezea Fedha Wenyewe" Coz alijua Kuwa Timu Zinazotegemea Pesa Kwa Tajiri bila ya Kuwa Na Vyanzo Vya Uhakika vya Mapato Zitapotea tu...

Miongoni mwa Timu Zilizojengwa Kwa Nguvu ya Pesa ikisha Zikapotea Ni Intermilan ya miaka ya 1999 - 2000s ilipowakusanya kina Rinaldo, Viery, Zamorano, Zanetti, Blanc, Di Biaggio, Seedorf n.k. hatumae Nguvu ya Fedha ilipochoka Timu imekufa...

Hata Leeds United iliwahi Kutoa Challenge Kwa Man United na Arsenal lakini Tajiri alapozuia Hela ikashuka mpaka daraja la 3..

Sasa na Abramovic Kaamua Kusitisha Nguvu ya Pesa Kutokana na Ukweli Ni Kwamba Anaproject Kubwa Sana Ya Kujenga Uwanja Mpya na Anachotumia Ni Kikubwa Kuliko Kinachoingia! Jamaa kaamua Kufuata Style za Matajiri Wa Kimarekani Kutengeza Faida kubwa kuliko wanachotumia. Na Ndiyomana anahitaji Striker lakini anga za kina Harry Kane na Griez hakaribii has a uko....

Atajaza average player mpaka basi.

Ni hii project ya ujenzi Wa Uwanja ndiyo iliyoiangusha Arsenal! Ni mbaya kuliko hebu waangalie Spurs Hata Usajili Hawauzungumzi tena labda wamuuze Kane ndiyo wataingia Sokoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom